Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya maua kutoka kwa Kiongozi wa Girl Guide wa Arusha Annasia Vincent Cosmas mara baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Malawi kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwenye Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini humo tarehe 6 Julai, 2023.
Goodbye June, hello July! Here’s something to look forward to 👀… Mark your calendars for the return of The Incredible Dr. Pol! The new season premieres Saturday July 22, 9/8c on Nat Geo WILD. #DrPol
Tukiposti vitu vya maana kama hivi wana Twitter hamuwezi ku like au kushare! Ila vitu vya ajabu na vilivyo kinyume na maadili ndio wangi hupambana navyo. Mungu wetu atunusuru! The Greatest Tanzania State house. Asante serikali yetu kwa msimamo Madhubuti tukapata Ikulu hii mpya!!
Nitajie Ikulu kubwa Kiliko ya kwetu watanzania kwa Eneo! Hapa Serikali yetu pendwa imeupiga mwingi! Hongera sana kiongozi wetu Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan.!!
Pleased to have paid a courtesy call to Cabinet Secretary for Roads, Transport and Public Works Hon. Kipchumba Murkomen at his office this morning. It's always a great delight to be in the company of visionary leaders who are equally committed to the development of our nation.