@Awesially Biashara ya genge la rejareja ina faida ndogo sana coz kila bidhaa bei inajulikana ukipandisha tu kidogo wateja wanaenda kwingine( kuanzia dukani unapojumua hadi unaiuza) unaweza mtu kauza sana hela nyingi huwa ni mtaji si faida kama hardware mfano so kama amekodi na fremu π
@Ngattaboe99 Nilikuwa na jamaa yangu akaniazima 3k siku aliyoahidi akunitafuta nikasema nimtafute kumbe kaniblock kote normal hadi wasap kisa 3k hafu ni mtumishi nimeshangaa
@Christopha37645@Sativa255 Kaka saizi ushuru wa mageti umeongezeka wanaweka geti kutoka njia za shambani ilipie buku kila gunia unapotoa shamba kuleta nyumbani
@NNekajr78744@Sisimizi3 Hd za azam zinaonekana za ovyo kuliko DSTv coz azam anatumia Hd yake kwenye kazingira magumu na kwa watu weusi vuta picha kiwanja kama cha mashujaa na waliocheza wote weusi huwezi kufananisha hd ni viwanja vya laliga na wachezaji ni weupe hapo dstv ndipo ubora unazidi
Kumbe wakamaria wao hawanaga hasara, wao wanapewa promocode ya kupush na ukijiunga kupitia promo code yao unavyoliwa na muhindi wao wanalipwa na wao hawaweki mkeka wanatumia Demo account kuweka mikeka wewe unaona wame stake high kumbe hawajaweka hata 100/= na wewe ulivyoπ€£π
@Hippopotamuc@Kondoo_wa_Sufi Itasaidia kama akili yako haipo kwa mwanamke mwingine ila kama ipo kwingine msaada ni mdogo umewahi sikia unachanganywa na mchepuko hadi unatamani kumsimulia mke ndiyo hiyo ilinikita nilikuwa namwonea huruma sana yule binti anaitaji ili mimi haisimami japo natamani isimame.
@Hippopotamuc@Kondoo_wa_Sufi Hapo inabidi uwe nae mbali kidogo ili angalau hisia zirudi kidogo japo siyo zote ila kama una mwanamke mwingine unayempenda zaidi kazi unayo maana hisia zikipungua afukiwa unamwazia na mwingine haitasimama mtaishia kugombana ilinikutaga kipindi flani ila nashukuru nipo sawa saizi
@SokoMoko__@FKihamu Bima haiwezi kurudi kwa namna yeyote ile tofauti na ulikatia bima . Mfano bima ya afya ni kwa ajiri ya matibabu hivyo ikitokea hujaumwa haiwezi kurudi kwa namna nyingine maana uliweka kwa dhalula ya kuumwa na kwa kuwa hujaumwa mwaka husika basi