Don’t let the winds of testing cause you to think that God is not for you. Stand unmoved by what you’re up against, stand with your eyes on the God who created the universe, stand knowing that He has the final say, that what He promised you—will come to pass.
This lean season, over 4X more people across West and Central Africa are struggling to meet their basic food and nutrition needs compared to just five years ago.
Most of those affected are in the Sahel, Nigeria and Cameroon.
🔗Learn more: https://t.co/3Qu32qrvkC
Wakaenda hadi kwa wakala wakatoa hela. Akawapa password ya bankcard wakarudi ATM nako wakakomba. Kisha wakamrudishia lines zake na kuondoka na simu
Sijui utekaji huu ama ujambaz ama wizi?
Mama akapewa lift na mtu asiyemjua. Mbele kidogo maeneo ya Bugurun akamwambia shoga yangu yule ngoja tumpakie. Akaingia mwanamke mwingine2. Mbele tena wakasimama wakamchukua mwanamme. Mama wa watu kawekwa kati. Wakampeleka eneo wakampiga. Akawapa namba ya siri ya lines zake
Usilojua. Mbagala haina tofauti sana na Tegeta, Gongolamboto, na Kimara/Mbezi zamani. Maana hizo ndio destinations za watu wa kipato cha kati na chini. Ila Tegeta inalisha Bagamoyo, Kimara/Mbezi (Kibaha), Gmboto (Kisarawe), Mbagala (Mkuranga)
Msiendeshe siasa kwenye uhai wa watu. Siku likitokea na kutokea watu watakimbiana. Kuna haja ya kufanya tathimin kuhusu usalama wa vivuko. Maisha ni muhimu kuliko siasa
📍Dodoma
▪️UPOTOSHAJI WA VIVUKO KIGAMBONI UNA MASLAHI BINAFSI: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) nakueleza kuwa imetengenezwa na watu wenye maslahi binafsi.
Ameyasema hayo leo Mei 28, 2024 wakati alipokuwa akifanya mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ambapo amesema kuwa serikali imejipanga kuhakikisha inaimarisha huduma ya usafiri wa vivuko nchini.
"Niwatoe wasiwasi Wananchi wa Dar es salaam pamoja na kigamboni, taharuki ambayo imetengenezwa hakukuwa na sababu ya kutengenezwa. Lakini sisi tunaofahamu yapo maslahi binafsi nyuma ya utengenezaji wa hii taharuki" Amekaririwa Bashungwa
Ameeleza kuwa sasa vivuko vingi vinaendelea na matengenezo, lakini pia Mkandarasi Songoro Marine anaendelea na ujenzi wa vivuko vipya katika karakana yake mkoani Mwanza kwa ajili yakupelekwa kwenye maeneo mbalimbali kutoa huduma kwa wananchi.
Aidha, Bashungwa amesema kuwa tayari ameikutanisha TEMESA na Kampuni ya AZAM Marine na kujadili namna bora yakushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji huduma ya usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni - Kigamboni.
"Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan tumejipanga vizuri kuhakikisha tunaboresha vivuko na tutaweka machaguo kwa abiria ambapo watakuwa na chaguo. Ukitaka kutumia kivuko cha TEMESA sawa au ukitaka cha AZAM muda mchache kuvuka kwasababu zile ni ndogo siyo kama kivuko kikubwa ambacho unasubiri kupakia magari na abiria ili muweze kuondoka pamoja" Amesisitiza
Bashungwa amesema Wizara inatambua changamoto ya wananchi ni huduma bora ya vivuko nakusema kuwa kuanzia mwezi Agosti mwaka huu wataanza kutekeleza mpango huo utakaotoa wigo kwa wananchi kuchagua huduma wanayotaka kutumia.
"Wapo wanaotaka kushinikiza ili utaratibu na mwelekeo uende kama wanavyotaka wao, sisi hatuendi hivyo"amesema Bashungwa huku akisema kuwataja watu hao ni kuwapa sifa.
📸:W/Ujenzi
Shida ni kwamba hizi social contract haziko legally binding. Mtu akikosea unasubiri kwenye ballot box, akiwa mjanja anaiba kura. Lakini kama mbunge angewekewa deliverable akishindwa based on indicators mnamwonesha mlango wakutokea
Tunazidi kuongeza gharama!
Hilo la ‘nepotism’ ni pana sana hadi sekta binafsi. Mbunge anaweza kuwekewa sharti la kikanuni/sheria (sifa na idadi) kuajiri watu hao.
Nakubaliana nawe kwenye tafiti na resources mobilization maana tuna wabunge wengi wasiojua majimbo yao (fursa zote zilizopo).
Kwa maoni yangu PAs hao walipashwa kuajiriwa may be na Bunge on 2.5years renewable contract ili waweza kuleta maana. Suala la mbunge ku-handpick linaishia kuweka wajomba ama incapable people. Hawa wangesaidiana na wadau kwenye jimbo kufanya tafiti na kumobilize resources pamoja
Pamoja na maslahi toshelevu, wabunge wengi wanashindwa kuajiri PA’s hata kwa USD 400 badala yake wanaajiri makatibu wa kuhudhuria matukio ya kijamii majimboni na kuwa-tip wapiga picha.
Katibu mahsusi wa Mbunge anapaswa kumuandaa hasa maeneo (sekta) ya kuchangia na hoja mbalimbali za kitaifa.
Thinking!
“Connecting Africa to the Middle East and the rest of the world requires addressing the challenges of limited connectivity within the African continent, high fuel costs, and taxes. By solving these issues and implementing the Single African Air Transport Market, we can properly connect the continent to the world." CEO Yvonne Makolo.
#FlyTheDreamOfAfrica #QatarEconomicForum
Takribani waafrika 900 wanatumia nishati isiyo safi na kupelekea kuongezeka kwa majanga ya kiafya na uharibifu wa mazingira na upotevu wa bionuwai #MamaYukoKazini