Wimbo Zangu Pendwa Za Msanii Wangu Pendwa @OfficialAliKiba
1 Aje
2 Infedele
3 Sumu
3 Mbio
4 Why
5 Hadithi
6 Yalaiti
7 Dodo
8 Mapenzi Run Dunia
9 Dushelele
10 Maumivu Per Day
Kwa Leo Zinatosha Ukipata Wasaa Sikiliza Na Enjoy Mziki Mzuri
Mnyama ameingia Fainali kwa Kishindo!
Timu yetu ya Simba imeandika Historia kubwa. Ushindi huu ni wa kila mmoja wetu.
Maelfu ya watu wamejitokeza Katika viwanja vya Mbagala Zakhiem kwa udhamini wa MO COLA.
#WenyeNchi
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia kila kheri. Mnayo hamasa yangu wakati wote.