In Timau, Kibirichia and Buuri, Meru County, Hon @rigathi led a team of Kenya Kwanza leaders in promoting our Bottom-Up agenda. In attendance were @mithika_Linturi, Josphat Kabeabea, @HonMoses_Kuria, John Mutunga, @NdindiNyoro, ...
“Tangu nilipochukua fomu za kugombea nafasi ya Urais Agosti 8, 2020 mimi na mgombea mwenzangu Salum Mwalimu tumezunguka mikoa 16 ya Tanzania bara na tumefanya mikutano mikubwa sana na imeonesha jinsi gani watu wanahitaji mabadiliko“ - @TunduALissu#LissuPress
Ndugu zangu wa twitter Habari za mchana. Nina Furaha kwa mara ya kwanza kuungana nanyi katika jukwaa hili. Naamini mtanipokea na kuniongoza kwa Upendo na Amani.
Nahitaji posters na flyers kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Nawakaribisha graphic designers kunitumia sampuli zikiwa na picha, jina langu na kaulimbiu kwa njia ya DM.
Nitawasiliana TU kwa maongezi zaidi na wale ambao kazi zao zitakuwa za viwango na ubunifu wa juu. Karibuni.