Unanikaribisha kama nani kwa mfano.?
Labda unikaribishe Singida..!
Ubungo nilipo zaliwa mpaka nazeeka unanikaribishaje wewe ambaye ni Mgeni usiyejua hata Mitaa ya Ubungo..?
Watu wana safari ndefu sanaaa,
Yaaani mtu unahangaika na mtu ambaye hana muda na wewe?
Mhe Rais yuko busy kuwahudumia wananchi anakuja mtu mmoja eti asiitwe Dr, sasa kwa taarifa yake tutamwita hadi Profesa siyo Udoctor tu
Mwanaharakati yaaani! Unahangaika na mtu asiye na muda na wewe yaani!.. Huyu siyo kambale useme atataka kukukamata ukimbie na boti kama kipindi kile uanze kuomba grants π
We bwabwajaaaaa huyu yupo mpaka 2030 huko kwa hiyo una safari ndegu sana bibi yake @Mapungo2020
@privaldinho@manafi_daimu Wewe unapaswa kumjibu mwamba kuwa Club haina taarifa ya Mayele kuhitajika na Petro De Luanda,offer ikija mezani tutazungumza na Club itatoa taarifa
Acha longolongo kijana....
Kikosi kimerudi jijini Dar es Salaam na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Ihefu FC ambao utachezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa.
#NguvuMoja