@MariaSTsehai Sasa kauli kama hizi kutoka Kwa kiongozi wa Chama tawala na former MP zinatufanya tujue jinsi gani hawa watu hawatuthamini na hawajawai Kua na interest na maendeleo ya hii nchi Bali familia zao.
Na watu wakivunjwa miguu hiyo siku his words will be used, as he is citing violence
Mh Mgawe
Aliitwa Gogoni Polisi tukaenda nae mimi na Mwenezi na wamemchukua nakuniambia wanampeleka Oyster Bay
Tumeshafika hapa O' Bay Police tunamshukuru Adv. Matata ameshafika hapa na mahojiano yanaendelea.
Tutajulishana kile kitakachoendelea.
Katibu Jimbo la Kibamba
#TANZANIA: BALAA! HECHE: 'CHADEMA WAMEZUIWA KUTOKA NJE NCHI'
Naibu mwenyekiti wa Chadema John Heche sasa amefichuwa kuwa viongozi wa chama hicho wamezuiwa kutoka nje ya nchi kwa sababu ambazo hawazijui.
ZAIDI: https://t.co/8p90WP4snb
Breaking News:
Wanaharakati wa mitandaoni Innocent Paul Chuwa (Kiduku) na Farida Mikoroti muda mfupi uliopita leo, Jumatano Oktoba 01.2025 wameachiwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) Dar es Salaam walipokuwa wanashikiliwa takribani juma moja tangu walipokamatwa, wakituhumiwa kutenda makosa ya mtandao
Licha ya kwamba wamepatiwa dhamana, lakini sasa watalazimika kuripoti kituoni hapo kila siku asubuhi, ikielezwa kuwa muda wowote wanaweza kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili,
Mawakili Kulwa William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC @humanrightstz), Paul Kisabo kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC @THRDCOALITION) na Fredrick Msaki kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS @TanganyikaLaw) ndio waliokuwa mstari wa mbele kufuatilia dhamana hiyo kwa muda wote huo.
Jambo TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na hilo.
Samia na Kikwete hili shimo mnalokwenda ingia ni refu sana
tunajua Kikwete anachuki na Nyerere ya muda mrefu kwa kudhibitiwa yeye na WANAMTANDAO, huku nakokwenda ni kubaya,
Jeshi la wananchi mkiruhusu upumbavu wowote kwa Familia ya mwalimu, utakuwa mmejitoa maana, msikubali CDF kuruhusu huu upumbavu, kumpa mama Maria mishituko kwamba mwanae anataka shambuliwa it is not okay, mwacheni huyo mama, na nyie mageneral mnataka kusema mnaburuzwa wote na CDF ? ambaye amechagua kufumbia macho kila ujinga?
Angalieni namna Magari yenu yanateketea kwenye misafara ya Samia
Kuna billion 5 hapo imepotea tu sababu ya mama yenu mtembezi na mbio mbio za magari akiogopa wananchi
Hivi Samia unataka kumuongoza nani? Maana hali yako ni mbaya sana
Hebu acha maneno mbona Abduli amesafirisha famlia yake iko Dubai na ukoo wako wote wana viza mkononi? Mume wako anaishi Coventry Garden London! Don’t gaslight us!
Wakuu wa vyombo vya dola, hebu mshaurini mama yenu asitumie lugha ya kukera!
Kinachohitajika ni BUSARA!
Watanzania “hawalipui kitu” wameamua kuwatoa kwa maandamano ya amani kama mmeshupaza shingo! Hawafanyi kwa sababu ya mtu - wanafanya for their own future!
Hao wanaochora jumbe nchi nzima wako nje? Hawana hata passport. Wameamua wenyewe watoke! Hao waliokuwa wanaimba kwenye mwendokasi wanaishi nje au wana passport mkononi!? Acheni blabla!
Mnaambiwa ila hamsikii - wanasema #OktobaTunatoka
Ila #TutaelewanaTu
@swahilitimes Hii ni baada ya watu kupiga kelele na kusema hawaitaki ccm. Kelele zimewakumbusha viongozi kuwa kuna jambo haliko sawa. Hivyo msiwateke watu wakiongea maana wanawakumbusha mlipojisahau
@swahilitimes Tusikubali hizi kauli za kisiasa, Watanzania Tuendelee kushikilia hapo hapo, kumbe wanajua kuomba radhi.
Nilazima tupate mabadiliko ya kweli kwenye hii nchi,yenye kuipa Kura ya mwananchi nguvu kuchagua kiongozi anayemtaka, na Sheria za kuwawajibisha.
#29/10/25 tunajambo letu
@TitoMagoti Ni Mimi sijaelewa maana ya live au huyu Mzee ndio pasua kichwa.
Anaongelea gharama zipi! wakati mahakama inatakiwa kutoa vibali Kwa press kubroadcast hilo shauri.
Shauri la uhaini Lina interest Kwa NCHI, kwanini wanaficha?!
Kwa wapenda HAKI uwa ni changamoto sana unakuwa kwenye kanisa halafu hata siku moja uoni wakifanya suala lolote la maana kiroho
RC wameitisha mambo mazuri tu sio ya tarehe 29 October 2025 hakuna jambo jema kama Kanisa kufanya warsha kwenye siku muhimu namna kuombea TAIFA na mambo mengine
Hili lilitakiwa kuwa suala la makanisa yote na misikiti siku nzima ya tarehe 29 october kuendesha ibada, maombi na mafundisho ya kumrudia Mungu , HAKUNA kitu kikubwa kama hiki kwenye mambo ya imani, siku ya kumkataa shetani katika TAIFA LETU
BIG BAN 🚫 Andrew Kambarage Nyerere tells @SuluhuSamia: Do NOT visit Mwalimu Julius Nyerere’s grave in Butiama. He says Samia has betrayed the principles his father stood for — any visit would ridicule his legacy. #Tanzania#Nyerere
Andrew Kambarage Nyerere 🙌🏽
Asante umenyooka kama ilivyo!
Tatizo hawa viongozi wa sasa wanataka kutumia legacy ya Mwalimu Nyerere kama hirizi iwakinge na hasira za watanzania hususan watanganyika!
Samia Suluhu has nothing to do na hiyo legacy na asipewe fursa ya kutaka kulink hapo
Tujenge taifa yenye HAKI na demokrasia si ya kifamilia
Najua wanamtandao mlimchukia sana Kambarage na hamshindwi hata kujaribu kumteka au kumdhuru mwanae kwa kuwaambia ukweli ila watanzania tushachoka sana
Mtaambiwa tu ukweli
#WenyeNchiWananchi
#NoReformsNoElection
#TutaelewanaTu