@lifeofmshaba Sawa mkuu poleni sana, basi bwana ma-punda kuna receipt kaiachia kasema ulipokea 4m, sasa tunakuomba utoe utata kuhusu na uhalali wa hiyo pesa ( recept ) naimani ushaiona mkuu
@JohnNgutiCDM@lifeofmshaba We nae john unatetea vitu vingine havina maana na sijui kwasababu mshachagua upande? Hawa jamaa inabid hoja zao wanazotoa zichujwe ili sisi ambao hatukuwepo tujue nini ni nini na nani ni nani? Msabaha aje ajibu kuhusu risiti ili twende mbele
@nulphin@Ndera_Wirtz Bro sorry lakini mimi sijaelewa kwanini unamkingia kifua msabaha? Kwanini asije na maelezo kuhusiana na madai ya hiyo 4m pamoja na uhalali wa risiti? Kwamba risiti imehamisha ajenda kabisa akati kilikuwa ni kit kidogo ili spana ziendelee katika maeneo mengine?