UKIWA mwalimu mzuri unatafutwa na kila shule, au pale shuleni ulipo unarundikiwa kazi nyingi mpaka quality ya kazi zako inashuka.
Ukiwa fundi magari mzuri, unaletewa magari na kila mtu mpaka quality ya kazi yako inashuka.
Ukiwa kinyozi mzuri ...
Ukiwa fundi bomba mzuri ...
Ukiwa site engineer mzuri ...
Ujumbe: siyo kwamba kazi hakuna, sema watu wanaozifanya kazi kwa ubora wa hali ya juu ni wachache na wanalemewa.
Mtu anakuuliza Valentino Uomo au Valentino Donna bei gani ??
Unampa bei anakujibu hakuna FAKE yake hiyo bei ya original imechangamka
Me: Namtumia namba ya muuza perfume aliye mwenge anayeuza AMOUAGE
Tsh 100,000/=
CASE CLOSED
Frame 1. Tsh 308,760/=
Frame 2. Tsh 360,800/=
Kitendo cha wewe ku REPOST Biashara ya mfanyabiashara aliye hapa ni kulisogeza tangazo kwa wengine wafahamu awareness 100%
Unaweza usinunue wewe lakini MTEJA akawa kwenye TL yako 📌
Mkono kwa mkono mpaka kwenye mafanikio ✅
Wakati wa mauwaji ya Oktoba 29, kuna maganda ya RISASI zilizotumika kuuwa Rai yalitambuliwa kuwa na chapa ya Zimbabwe.
Duru zilidai Big & co waliingiza silaha TZ kumsaidia muuwaji Samia kushika dola kwa damu za watu.
Mwaka umeisha nchi haitawaliki, Chivayo amepiga teke debe!
Saikolojia inasema;
Watu wengi hawapendi MABADILIKO.
Si kwa sababu mabadiliko ni mabaya,
Bali ni kwa sababu UBONGO hupendelea kitu kinachojulikana kuliko kitu kisichojulikana.
Ndiyo maana wakati mwingine tunakaa kwenye maisha tunayoyachukia kwa sababu tu tumeyazoea.
NOW DO THIS….👇🏿
DAILY TF = DIRECTION (BIAS)
Find out the direction you’re allowed to trade for the whole day. [if you’re genius enough, you can tell the direction for the whole week or even a month]
Set your daily key levels: These are your points of focus.
HOURLY POIs = ENTRY LEVELS
Based on timing, the first hour is the most important hour to trade.
Wait for the price to come to your level. Do not chase the price.
15M = ENTRY REFINEMENT
Can you handle a 100$ account with 0.3 lots on exness 1:unlimited leverage account) if you’re using 50+ stop losses? Then, REFINE YOUR ENTRIES.
3/1M = FOR EXECUTION
Low drawdown, less risk.
Moreover; before you trade anything affected by USD, five things have to be true.
1. Does DXY agrees with your direction.
2. Did price pull back or bounce to the level you’ve marked.
3. Any confirmation?🤷♂️
4. Context confirms the rest of the market is aligned
5. The setup is undeniable.
Matukio katika picha Mkutano wa Hadhara leo tarehe 22 Septemba 2026, Shinyanga Mjini, ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. John Heche.
Wananchi wameendelea kuiunga mkono CHADEMA kwa wivu mkubwa sana.
REPOST 200
Huwezi kutoa usichokuwanacho. Huwezi kuwapenda watu ikiwa wewe mwenyewe hukuwahi kujisikia kupendwa. Huwezi kumsikiliza mwenzako ikiwa wewe mwenyewe hukuwahi kujisikia unasikika. Huwezi kutaka kumuelewa mwenzako ikiwa wewe mwenyewe hujawahi kujisikia kueleweka.
Kinachotusumbua wengi ukubwani ni matokeo ya ‘umasikini’ sugu wa nafsi zilizokosa upendo.
Hasira zisizo na maelezo.
Ubabe wa kuchezea hisia za watu.
Mashindano na watu.
Ugomvi usio wa lazima na watu.
Kiburi cha kutokutaka kujifunza kwa wengine. Kiburi cha kutokutaka kupendwa.
Kisasi cha kufurahia matatizo ya wengine.
Hizi ni tabia za waliokosa tunachowadai. Tunataka watoe kile wasichonacho. Tunataka wapende na hawajawahi kupendwa. Ukiukosa ule upendo unaopatikana bure—aghalabu kutoka kwa wazazi—itakugharimu kuwa mtu timamu, mwenye utulivu unaojali wengine.
Kwa hivyo, pamoja na jitihada tunazofanya kujinasua na umasikini wa kipato—tule, tuvae, tulale, tuweke akiba, kuwekeze— tunahitaji pia kupambana na umasikini wa upendo. Huu, kwa hakika ndio umasikini wenye hatari zaidi katika jamii.
Upweke haukuandami kwa vile umekosa watu wa kukukaribia. Upweke haumaanishi huna watu wa kuzungumza nao. Upweke humaanisha huamini kuwa unayezungumza naye anaweza kuelewa vitu unavyotaka kumwambia. Upweke humaanisha kuzidiwa na maneno usiyoweza kuyasema na ukweli usiojisikia salama kumwambia mtu.
Unapoanza kujisikia huru kusema kile kinachokusumbua, unapoanza kuamini ni salama kumruhusu mtu mwingine aione sura unayoificha kwa wengine; unapoanza kuamini kuna mtu anaweza kuisikia sauti yako wasiyoisikia wengine, kwamba yupo mtu anauelewa upande wako usioeleweka na wengine, mtu asiyekuhumu kwa ‘kosa’ la kumruhusu asikie simulizi linalobeba faragha na utu wako, hapo umeushinda upweke.
Tofauti ya maisha ya wafanyakazi wengi inategemea zaidi namna wanavyotumia ule muda kati ya saa ya kutoka kazini kwa mwajiri na saa ya kwenda kulala. Hapo katikati hapo ndiko zilikojificha tabia na mazoea muhimu yanayoamua mustakali wa maisha yetu.
Kwa Vijana wote wenye mizigo ya Familia, Familia inakutegemea kwenye kila kitu, Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya baraka usikose Riziki hata siku Moja, Good Morning X Familia💜