@SavaJanjaro @SuluhuSamia Wanaopotea ni watu na Wana thamani ya watu wa nyumbani kwako,Mimi sipo kwa hao wapinzani kabisa najua Ni walewale njaa zinawasumbua Kama wewe tu,Mimi naamini kwenye HAKI kilabkiumbe ana haki ya kuishi,
@SavaJanjaro @SuluhuSamia Mpuuzi wewe umechagia kuwa mjinga mnashindwa kupaza sauti watu waliotekwa na kuuwawa mnasifia uouuzi,angetekwa baba yako na Kaka yako ungeshupaza shingo hiyp vijanga wajinga Sana nyie
@queeen_minah Mfuate kistahaarabu mwenyewe atakuelewa hao NEMC hawanaga masihara wamefunga bar ya Jamaa toka mwakajuzi na Jamaa alikuwa anategemea hapo kulisha familia na Mambo mengine ukimuona Sasa kausha mpaka huruma bora umuo me mwenyewe anaweza kuwa mstaarabu