Not his best game tactically (the Rice to RB decision was bonkers and threw us off for 25 mins) but his biggest and most important win as Arsenal manager. This was the day @m8arteta almost certainly won us our first League title in 22 years. So happy for him.
Mradi wa EACOP unasafirisha mafuta ghafi kwenda masoko ya duniani. Dangote anaweza kuyanunua mafuta hayo na kuyasafisha popote atakapo. Kaamua kuwa Afrika isiuze tena mafuta ghafi bali yeye ashirikiane na nchi zetu hayo mafuta ghafi yawe safi hapo Tanga. Hamtaki!
Sasa atayanunua hayo hayo mafuta yenu ghafi atayashusha Mombasa, atayasafisha na mtanunua petroli, dizeli, mafuta ya taa na mafuta ya ndege kutoka Mombasa.
Mtanunua mbolea ya UREA, Salfa ya Korosho na lami kutoka Mombasa!
This Mother’s Day, I’m thinking about my mom, and all the lessons she taught me. I'm proud to honor her memory with the Ann Dunham Water Terrace at the Obama Presidential Center.
Nawakumbusha mwisho mwisho watesi wa Arsenal
Make peace with it . Hii ilishaenda muda tu sema wenzangu bado mlikuwa in denial .
Okoa moyo wako kwa stress.! Itakusaidia😀😀😀
RIP Mhe Lukuvi. Mama Germina na familia, Mungu awape nguvu. Kwa miaka 10 pamoja Bungeni na kwenye NEC tulifundishana mengi: ukinieleza hali halisi ya MFUMO na mimi nikihimiza kuwa "WE ARE FIGHTING POVERTY NOT THE POOR" sentensi iliyokufurahishaga sana ukinitania kuwa ni mwanaharakati wa kudumu. Zaidi tulibishana sana kuhusu ujenzi wa depot ya mabasi ya mwendo kasi hapo Jangwani. Wewe ukiwa Ofisi ya mhe Waziri Mkuu Pinda ulitaka kuendelea na ujenzi hapo Jangwani tusichelewe. Mimi nilionya kwamba ni environmental hazard na itakuwa hasara kubwa kwani patafurika tu. EIA ilitolewa kimakosa na Waziri wa Ardhi ana mamlaka kamili juu ya maeneo oevu. Nikasimamisha ujenzi na kwa kuwa Rais Kikwete alishanipa assurance kuwa pasijengwe tukawatafutia sehemu nyingine huko Ubungo Maziwa kuhamisha kituo. Ukaniangalia, nikiri kwa amusement na kunikumbusha "PROFESA, SUBIRI, PATAJENGWA TU na MFUMO". And sure enough baada ya wiki 2 hivi nikaona ujenzi unaendelea bila kibari cha Wizara ya Ardhi. Hali halisi. Baadaye ulipoteuliwa kunirithi kuwa Waziri wa Ardhi tarehe 26.01.2015 nilikukabidhi ofisi kwa andiko maalum na matumaini makubwa ya kuendeleza flagship projects zilizokuwa katika hatua mbali mbali za utekelezaji: Kigamboni New City; DSM Masterplan; Makongo Juu Redevelopment Scheme; Wazo Hill/Bunju Resettlement program; Bagamoyo Eco Energy; Land Tenure programs mawilayani ikiwemo Loliondo Village Survey Project kukomesha migogoro na hata NHC Special Programs Audit ya miradi kama wa Kawe kujua ufanisi wake. nkd. Hivo tulifanya kazi pamoja, kadri ilivyowezekana, ni masikitiko kuagana ghafla hivi. Muumba wetu Akujalie raha ya milele.
Najua kuna mashabiki " baadhi " watamlaumu Arteta ( yeah ni kocha ) but wakati Arsenal wapo mbele 2-1. wakaanza kuwa casual uwanjani as if wanaongoza tano Giving balls away cheaply, losing duels , trying tricks and flicks unnecessary, jogging . Huwezi kuukosea heshima mpira hivyo
This Saka number 10 gimmick should stop today . Try it preseason first , but not when you are chasing a title . There is only one coach in the world football can do that during a season and at vital stage . This is not a time to be cute , just be ruthless dont complicate .