Tafsiri ya #D9
Kuna siku 40 toka MO29 had D9.
Siku za mwizi ni 40.
Yesu alifunga siku 40.
Mtoto anatoka nje siku ya 40.
Kubwa kulko waisrael walifika nchi ya ahadi kanaani baada ya miaka 40.
Samia we are coming for u siku ya 40.
#D9#MO29
REPOST 500
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
#TajiriLaKihaya
In Sha Allah siku Tukichukua Nchi…
Inabidi tuwe serious na swala la Wazee kustaafu…
Kama tumeweka 60yrs mtu ana stafu…
Basi Astafu kweli kweli… sio tena anateuliwa kwenye nyadhifa zingine…
Itakua marufuku mzee wa zaidi ya miaka 60 kufanya kazi kwenye Ofisi ya UMMA yoyote ile, iwe ya Serikali au Binafsi- labda kama kampuni ni ya kwake!
Hatuwezi tukapambana na UNEMPLOYMENT ikiwa wazee hawataki kuachia ofisi zao…
Vijana ni wengi hawana kazi - wamekimbilia kuwa Boda boda na ndio hii bado wanadharaulika wanaonekana vibaka💔 inafikia hatua bodaboda akionekana Kwenye kituo cha mafuta,watu wanamchukulia kama Mhalifu💔
Wazee watakaoruhusiwa labda ni ma Proffessor… na wale waliobobea kwenye taaluma zao na watakua kama CONSULTANTs tu Baasi na sio vinginevyo- ili kusaidia kukuza na kuimarisha warithi wao!