Huu ndo ule mwaka ambao Ballot pepers & boxes zinafika zikiwa salama hadi kwetu MICHIGA, NAMASALAU, NAMASAKATA, NYAMISATI ,KINDIMBA JUU ndani ndani huko ambako Huduma bora za msingi za jamii hazijafika toka mwaka 1961.
maajabu ya kuwekwa kwenye "ginesi buku ofu rekodizi "
Si hata Bible inasema aliyenacho ataongezewa na Sisi tulikubaliana kumshika Mkono kila anaepambana ?
Basi naomba tuendelee kum-Follow huyu Mpambanaji mwenzetu @FaustineGe94 hawezi kukosa Wateja humu.