Kama una ndugu, rafiki mwanajeshi, please muulize kuhusu recruitment ya wanajeshi kutoka ZNZ iliyofanyika na ambayo bado inaendelea.
Hii issue ni very serious.
Jeshi la JWTZ linakuwa taken over na Zanzibar kimya kimya.
Usalama wa taifa ndio hapafai ni Wazanzibary tupu na ndio wenye nguvu ya kutoa maelekezo and everything, wabara hawana power yoyote. Mombo ndo kabisaaaaaa, mkuu wa Usalama wa taifa ni Abdul.
Watanganyika tuko busy na Chadema VS CCM huku Zanzibar wanatutake over bila kujali CCM wala Chademaโฆโฆ.
Mnaambiwa mpaka vijana wa barabarani wa Zanzibar wanasombwa wanapelekaa JWTZโฆ..
Nkunda kauza nchi!!!!!!
Na kimama anafanya hivi maana kaona JWTZ waligoma kuua October 29, so anajaza jeshi na Wanzibary ambao hawatosita kuua wabara.
Who is behind the continued suffering of this father and his family?
Tanzanian authorities ๐น๐ฟ, when will you learn to uphold justice?
He was shot 16 times, left with a disability, separated from his family, and has now spent more than 500 days in prison.
How much more suffering must this man endure before it is enough?
Justice must prevail. FREE TUNDU LISSU. ๐น๐ฟโ๐พ
@Analyst_Oracle@nulphin Upumbafu ushenzi ujinga kamwambia samia anayetoa amri ya kuteka na kuua WATANGANYIKA kama kuku. Ni chuki gani unayoongelea zaidi ya samia kuua WATANGANYIKA ZAIDI YA 10,000? Tunataka TANGANYIKA YETU soon
Job Mrema; Wakati unajitetea ulieleza kesi hii ya kisiasa. Je umeshitakiwa kama Tundu Antipas Lissu au mwanasiasa
Tundu Lissu; Nimeshtakiwa kama Tundu Antipas Lissu Mwanasiasa. Nisingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
Job Mrema; Kwa mujibu wa hati ya mashtaka kuna sehemu yeyote umeshtakiwa kama mwanasiasa?
Tundu Lissu; Hati ya mashtaka haisemi hivyo lakini mashahidi wote wanamtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkutano wa CHADEMA na wakati wa preliminary hearing wamesema ni Mwenyekiti wa CHADEMA.