@TangaBwoy Wewe ulitakiwa uwe na tahadhari ikiwa wa mbele atasimama ghafla je utaweza kusimama? Ukiweza kujua hilo huwezi gonga mtu nyuma kizembe hivyo.
@Aruatani Matumizi mabaya ya antibiotics, haina mchango wowote kwenye sex, kula vizuri pata muda wa kupumzika pia tumia hisia sio nguvu za kunyanyua vitu. π Mambo ya hisia mnatumia akili! lazima ujione haupo sawa tu.