Tunajivunia kutoa suluhisho bora, kukupa uzoefu wa kipekee ktk bidhaa za Simu & Electronics. Tuko hapa kukidhi mahitaji yako na kuleta thamani ya chaguo lako
@Thommunkondya Nimeuliza kutoka na maandishi yako " Wengi tulitarajia concept yake ibebe zaidi taswira ya βulinziβ labda umbo linalofanana na ngao, mzinga, kifaru (tank), submarine au symbolic military geometry fulani."
@DaimuManafi Bajaji na Bodaboda si uchavu @DaimuManafi ! Naona tunakwama kwenye mipango ya miji yetu, Mipango mizuri ya matumizi ya ardhi itataua yale yote tunayoona kero leo.. Haya ni matokeo ya Mji kukua bila mipango
@ReganTesla_ Tumekuwa watumwa wa matokeo, washindani kwenye kila kitu.. tunawatumia watoto kutimiza malengo yetu na majivuno yetu. Hii ipo sehemu nyingi mjini