Dakika Chache zijazo mh JOHN MNYIKA atakuwepo katika kipind Cha konani. Kinachorushwa mubashara na kituo Cha ITV tukamsikilize wote kwa umoja wetu tafazal muda n saa 5:00 kwa saa za afrika mashariki
#no_hate_no_fear#to_be_is_to_do#tume_huru_mpango_mzima2020
FT: Samatta 2-1 Leicester
Hongera sana @Samagoal77_
Hongera sana @AVFCOfficial
Nimekesha Kwa mara ya kwanza kuishangilia @AVFCOfficial, huu si Uzalendo wajameni😂😂😂
Hapa nimeunga juhudi ila sio za @MagufuliJP
Baraza la vijana wa mkoa wa kigamboni (bavicha kigamboni) tunapongeza mh@esteramosbullaya kwa kuchaguliwa na mwenyekiti wa kambi ya upinzan bungeni mh @freemanmbowetz kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzan bungen .tunakutakia utekelezaj mwema wa majukum yako mapya
#no_hate_no_fear
Hongera sana @esteramosbulaya kwa KUTEULIWA na Kiongozi wa KAMBI RASMI ya Upinzani BUNGENI, MHE. Freeman Aikaeli Mbowe kuwa MNADHIMU wa KAMBI ya Upinzani BUNGENI. BAWACHA@officialbawacha inakupongeza SANA. Tunakutakia HERI katika WAJIBU wako MPYA.
Katibu wa baraza la vijana was chadema taifa mh Nusrat hanje akiwa kwenye ibada ya maziko ya baba mzazi wa katibu mwenezi wa kata ya mjimwema mh leornard kasambala mzee athanas kasambala 😭😭bwana alitoa na bwana ametoa.