@mswahili2020 Uchaguzi huu CHADEMA lazima inashinda sababu wamekuwa wakweli ktk kamoeni zao, na eamekuwa wakizungumzia uhalisia was matatizo ya wananchi walio wengi. Ccm wamekuwa wakiendelea kuonea wapinzani kwakuratibu mbinu ovu, ushahidi unaonekana wazi. Na ikatokea ccm wamelazimisha
@earadiofm@ccm_tanzania@MagufuliJP Huyo anamfaa yeye aliyekuwa anampa mshahara mkubwa na safari alawansi, sisi tuliokuwa huku kajamba nani hatufai, hana msaada kwetu. Sasa wale waliokuwa wanapewa pesa nzuri wakampigie kura
@ngurumo TYK Mtumishi! Nimefurahishwa sana na radha ya nyimbo zako, ikiwamo ya MIMI NI NANI. Kama utakuwa na mpya kadhaa unaweza nitumia? Naitwa Raymond Haule