#NextMatch Tutakua ugenini kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC, tukiivaa Tabora United Ijumaa hii ya Desemba 13, 2024, utakaofanyika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi saa 10.00 jioni.
#weareazamfc#timuborabidhaabora
Leo Kipre Jr ana kibarua kizito dhidi ya Young Africans. Anawajua vizuri aliwahi kukutana nao kipindi akiwa Azam Fc,Yanga Sc wawe makini kijana anaweza akafanya lolote dhidi yao.
Kumshikilia mtu kwa TUHUMA ZA MADAI, ni kuthibitisha UZEZETA WA SHERIA. Asante wote mlioonesha UTIMAMU WA AKILI ZENU kwa KUPAZA SAUTI ili NIACHIWE HURU. Nitawasiliana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika ili kwa pamoja TUWAFUNDISHE POLISI TOFAUTI YA JINAI NA MADAI.
Hiyo nafasi ungeachana nayo,inaonekana unafaa kuwa mpiga mapambio pale CCM itakufaa zaidi kuliko kuiaibisha klabu yenu yenye heshima kubwa kwenye ligi yetu na nje ya mipaka ya Tanzania.
Ndugu propaganda za Yanga kufungiwa ni utoto kama utoto mwingine. Hii ni zaidi ya mara tatu mna copy taarifa huyu Bumunda Micky. Huyu Hans anacopya taarifa za micky tumefungiwa ghafla anapost Yanga inamsajili Nashon. Timu imefungiwa ghafla inasajili? Ni hatari sana wadogo zangu hawa wanaingia kwenye agenda za watu ambao tunajua wanatumika na madunduka. Madunduka wanajua wazi uwanjani hawawezi, wanahangaika na waandishi kupenyeza agenda ili kutuondolea focus. Usipokuwa makini kama mwandishi unaweza kugeuzwa tishu bila kujua. Uzuri tunajua madunduka wanachokifanya. Wananchi, kama haipo
Yanga APP, Yanga TV, puuza.
Nne zetu za mwisho Desemba hii!! ๐ฅ
Dec 07 ๐ Iringa Sports (H)
Dec 13 ๐ Tabora United (A)
Dec 17 ๐ Fountain Gate (H)
Dec 27 ๐ JKT Tanzania (H)
#azamfcindecember#weareazamfc#timuborabidhaabora