@Al_Peshawari Our beloved prophet Muhammad صل الله عليه وسلم, an his sahaba and those who came after them never celebrated Mawlid, and what has not being religion in their time 'll never be religion in our time!
Leo ni Siku ya Mama Duniani, siku maalum ya kuwatambua, kuwaenzi na kuwapongeza mama zetu kwa mchango wao mkubwa katika ustawi wa familia, jamii na Taifa letu kwa ujumla. Kwa moyo wa dhati ninawapongeza mama wote kwa kazi kubwa ya malezi mnayoifanya ambayo ni msingi wa Taifa letu kupata raia bora, nguvu kazi mahiri, wataalamu na viongozi.
Tumefanya kazi kubwa, na tunaendelea kuwekeza katika maeneo ya afya ya mama na mtoto, elimu kwa mtoto wa kike, maadili na kuwawezesha wanawake kiuchumi na kisiasa, ili kulinda utu wa mama na kuleta usawa katika fursa zilizopo nchini.
@Shaykh_Issa Umesema kweli,isipokuwa kwenye udadisi! Udadisi ni miongoni mwa silaha za Allah kuwaongoa watu,bila udadisi asingefahamika nani ni nani bali udadisi hata kwenye matumizi sahihi ya muda.
REPORT INFLUENCERS WHO PROMOTE GAMBLING. WHEN MANY PEOPLE REPORT YOU, SOCIAL MEDIA KILLS THE REACH OR BETTER SUSPENDS.
I know many of these so-called big influencers who make a living by faking "gambling wins" are already uneasy. Some of them are already showing up in the comments with the usual lines like "everyone is over 18 and they can choose for themselves." But what they conveniently ignore is the quiet influence of media houses, some of which are directly involved in running gambling platforms.
Wherever Kenyans turn, whether it's TV, radio, or even sports shows, they're being bombarded with betting ads. These ads are running during family hours, in the middle of news, and even in children’s programming, yet some people still have the nerve to act like it’s all about personal choice.
I used to be one of those people who said gamblers are adults and they have themselves to blame. But I’ve come to understand that this thing is hitting even harder on people who don’t gamble. In Kisii and many other areas, families are burying loved ones who have taken their own lives because of Aviator. This is no longer just a matter of age or choice. These are people battling something that’s much bigger than just bad decisions. This is addiction. And the system that fuels it needs to collapse.
If you really want to make a difference today, start by reporting these fake influencers who are pushing gambling as if it's normal. Report them under "promoting suicide."
Tarehe 28.04.2025 tunaenda kuweka historia na kuishi msemo wa ‘from words to reality’.
Nilianza kuongelea Ushirika miaka 6 iiliyopita na miaka 3 iliyopita rasmi nilitangaza azma ya Wizara ya Kilimo kusimamia uanzishwaji wa Benki ya ya Kitaifa ya Ushirika.
Miaka 3 baadae, Mhe Rais Dk. @SuluhuSamia atakua mgeni rasmi na kuzindua Benki hii.
Safari ya @coopbanktz imekuwa ya kipeke, kutoka kuwa ndoto hadi kuwa taasisi ya kifedha inayomilikiwa na wanachama wa ushirika kwa % kubwa.
Tungeweza kuishia njiani, lakini Serikali ya Awamu ya 6 iliona umuhimu wa kuwa na benki hii kama moja ya tatuzi la upatikanaji wa mikopo ya fedha na pembejeo. Uwekezaji huu unaenda kuchangia kuleta yale mapinduzi tuliyodhamiria kwenye #Agenda1030
Kazi na Utu #TunasongaMbele
#SafariYaCoopBank #UzinduziBenkiYaUshirika #UshirikaNiNguvu #UzinduziCoopBank #SamiaSuluhu #Dodoma #BenkiYaUshirika