@Rydx_017@MissChelsea1221@athanas_pius@Balyx_@DullahTheking2 Shit season kabisa, haina mvuto kama promo yake. Dogo hmna hata mahali amekuwa ruthless akiwa kwenye avatar mode kama wengi walivyotegemea, kiufupi chuma kikali hvi hakutakiwa director awe mwanamke. ๐ฎ
@zed_officially@Ayodimejitz Ukweli uzungumzwe tuuu๐
Taarifa muhimu, ndo maana hakusubiri uondoke ndo ampe mwenzake chakula kawapq chakula mle wote na mjifunze๐๐๐
@Ayodimejitz@zed_officially ๐๐๐๐asa ameenda bila taarifa hana hesabu kmmke ampe chakula cha bwanaake alafu, bora amwite wale wote ili akiwa anakuja akumbuke kutoa taarifa.....
Hamna mchaga asieishi kwa mahesabu๐๐๐
@Bluckuv Wakati unafua chupi zake ndo alipoona kuwa wewe ni mjinga and there's nothing you can do other than lamenting tu jomba. Lile neno la mwanamke ishi nae kwa akili mlitakiwa muambiwe liwe kipaumbele kwa wanawake wa kichaga ๐๐
Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...๐๐น๐ฟ
Good morning familia.