🔷🔷🔷🔷Bado siku 16 kuelekea Tamko la Maaandamano ya Amani, Kupinga Mkataba Haramu wa bandari na Kuitaka serikali Kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya Sasa. #NoToDpWorld#KatibaMpyaSasa#StopMasaiEviction
🔷Kusaidia harakati hii, please share. Tutatuma count down kila siku.✍️