Social Media Strategy:
1. Fahamu matatizo waliyonayo watu kupitia mitandao ya kijamii au kwa kufanyanao mazungumzo.
2. Andaa maudhui ya kutatua matatizo hayo kama vile how-to guides, deep insights n.k.
3. Uza premium solutions.
That's the Formula! Simple and Effective
Kama Unataka...
- Kozi 1,700 za bure mtandaoni
- eBooks 800 bure
- Audio Books 1000 bure
- Movies zaidi ya 4000 bure
- Kusikiliza Podcasts 150 bure
- Kujifunza lugha zaidi ya 45 bure
...basi tembelea: ππΏ
https://t.co/3wBqOlADAi
Kama Unafanya Marketing...
Basi jifunze:
1. Scarcity - Jinsi ya kupunguza usambazaji ili kuongeza uhitaji.
2. Positioning - Jinsi ya kujitofautisha na washindani wako.
3. Social Proof - Jinsi ya kujenga kuaminika kwa biashara yako.
Bookmark This! Itakusaidia.
( DAY 1)
Kuna watu wengi wanatamani kufanya Dropshipping hasa kupitia shopify wakiwa hapa Tanzania lakini wanashindwa sababu ya hizi payment gateway
Kwenye hii thread nitakuonesha namna gani ya kufanya dropshipping ukiwa Tanzania pasipokua na STRIPE wala PAYPAL
RT & Threadπ
MUHIMU SANA
SIRI ZA ALGORITHM YA IG
UZI π§΅π§΅
Algorithm ya Instagram
Ni kanuni na process ambazo Instagram hutumia kuamua mpangilio au usambazaji wa maudhui/Post (picha πΈ, stories π, reelsπ₯) kwenye kurasa za watumiaji.
Repost
Bookmark π
Endelea kusomaπ
Jinsi ya Kutengeneza $20/Day. Internet + Simu yako tu.
.
Kwanza kabla sijaanza kuweka details vyema, fahamu haya, kuna free videos YouTube unaweza check,
.
1. Jinsi ya kupokea na kutuma pesa kwa Crypto,
2. Jinsi ya kufungua account Binance & Jinsi ya kufungua Crypto wallet.
ππ»