@Jaguar_455 Nadhani mtazamo wako umekosea sehemu, kwamba hajaenda gerezani voluntarily, serkali ndiyo imempeleka kwa maslahi inayoyajua yenyewe. Lissu anapambana ili aachiwe guru, lakini wao ndiyo hawataki kumuachia, pamoja na kwamba, kesi kila mtu anajua in ya kuzushiwa tu.
MEU DEUS, COMO EU NÃO SABIA DISSO ANTES?! 😭🪴 Banana + sementes que já estão em casa e olha o resultado! Eu jurava que precisava gastar com muda cara. Quem ama plantar vai querer testar isso na hora. 👀🌱
@MsigwaGerson Hatukatai kuwa tunaweza, ila Hatujaweza kwa sababu hamjatufikisha. Nyie ndiyo mmekuwa kikwazo cha kuweza kufikia kujitegemea. Ni kama akili zenu zimefika mwisho. Kawaida, akili ikifikia hapo, unatakiwa kustaafu. CCM imefika wakati, kubalini kukaa pembeni, nchi ianze kujitegemea
@Innocen89950594 Ukweli unabaki palepale, Nchimbi na wanaojiita Viongozi wa Serikali, hawana ujasiri wa kumkabili Samia. Matokeo yake, wanataka waonekane kama wako na Wa-Tanganyika, na wakati huohuo, wako na Mama. Wanapokuwa mbele ya wapenda/watenda haki, wanaona aibu kujitanabaisha wapo na nani.
@smkami Kuna Waziri inasemekana, kahonga mke wa mtu, gari ya 500M! Hivi kule alikopigiwa kura, ameweza hata kukabiliana na ahadi zake jimboni, hata kwa sehemu? Ubinafsi miongoni mwa viongozi wetu unatia kinyaa. Wajitafakari. Si kila siku utaweza kupora kura!!
@MsigwaPeter Pastor, nchi nzima hakuna mwenye kitambulisho halali, hata waliopata, vime - expire tayari, ingawa NIDA wenyewe nasikia wanasema ni vya kudumu. Nchi yetu, amani tu!