It is not about having a good idea, having ideas is easy and trivial.
The important thing is how clever can you be to come up with a quick, cheap and easy way to test it.
@its_mubah Huu ni mradi mkubwa zaidi kufanyika nchini kwetu, mnyororo wa thamani utagusa kila mtu kuanzia mkulima hadi mama lishe as long atajiposition kwenye fursa.
@gabyconscious Pia hawajui kuwa MO ni philanthropist ameahidi kutoa 50% ya utajiri wake kwa kuchangia charity kupitia foundation yake. Waje wataje mabilionea wa Chunya waliotayari kusign kutoa 5% tu ya utajiri wao kuchangia charity.๐๐๐
@gabyconscious@Positivenga1 The total gold sector economic value for Tanzania ni around $5B, hapo umechanganya wachimbaji wakubwa, wa-kati na wadogo. Then net worth ya MO ni $2.2B, hao jamaa huwa wanamchukuliaje MO ๐๐๐
@MarekaMalili Boring business hazina kelele ila zinapesa nyingi mfano MO ni top 3 duniani kwenye uzalishaji wa katani. Kuna chance kubwa carpet ulilonunua kutoka China limetengenezwa na sisal fabric ya MO.๐