Nilitaka kusema, “Tazama huyu mtoto wa Rais Mstaafu Kikwete anavyojipotezea heshima waziwazi.” Lakini nikasita, ndipo nikagundua kuwa mtu hawezi kupoteza kitu ambacho hana.
Mwanamziki @solothang katubless na bonge la ngoma inaitwa “SHANGAZI KAJA”
Mungu ambariki sana, tunahitaji Wasanii wengi zaidi ambao and wanasema ukweli bila kujiumauma.👌❤️
Unamuonea Dogo!
Davido ni proof ya Hard Work, Work Ethic & Good Relations kuwa ni muhimu kwenye muziki business kuliko vitu vingine.
Ingekuwa Hela ndio issue, His Cousins (Sina Rambo & B Red) na DJ Cuppy wote wangekuwa as big. Maana wote wakishua kabisa.
David is talented, but is also resilient and has great character! Hiyo combo ndio siri ya Mafanikio yake na si vinginevyo.
Pia mnajisahaulisha kuwa, Burna Boy alikuja kuingia kwenye hii discussion later kabisa, it was just a two man ting alas Messi vs Ronaldo, na before Burna become “The Burna Boy”, likes of Patoraking, Runtown, Kizz Daniels, Tekno were in consideration before him.
Davido na Wizkid wamepambana as 1 & 2 for almost 10 years kabla Odugwu hajaingia ulingoni (5-6 years ago). Wakati Burna anatoa “Like To Party”, “Run My Race”, “Yawa Dey”, “Tonight” hamna mtu alikuwa anamuweka in Big 3. Hata wakati wa run yake ya Collabo za South Africa.
Wakati David anatikisha na “Aye”, nilikuwa Elegushi na kina Burna tunamoka hajui what the future holds (wakati ana drama na label yake Aristokrats na pia media kama zilim black ball).
Put respect on Davido name aisee!!