@Mishi_2210 You can only know Ethan's age by knowing the birth date of his kid. You can't get married and have kids the same year unless otherwise your wife was pregnant before marriage
@Mwabuk2Boniface Vichwa kama Advocate @Mwabuk2Boniface vingesikilizwa na washika dola tusingefika tulipo. Maombi siku moja upate kibali cha kuwa Rais wa Tanganyika. Na mwenye kuipenda Tanganyika aseme AMEN!
@lifeofmshaba Hakuna kitu huu ujumbe hautoki kwa Mungu wa Israel labda mungu wa gamboshi.
Tumwone huyo mtoto akiongea na polisi hawawezi kumchukua mtoto wa siku 4 bila mama yake.
Picha hainunuliki hii
G55 watajiunga na CUF na ACT Wazalendo na kupewa tiketi ya kugombea ubunge na wote watapitishwa na kushinda ubunge ikiwa ni mbinu chafu ya kukiua CDM.
Kumbuka HAKI huinua taifa hivyo CDM itapitia yote mwisho wa siku itashika dola! Mungu ibariki CDM wabariki wapigania HAKI