Habari
Mimi ni kijana mwenye
Elimu: Transport and Logistics
Umri: 24
Location: Dar
Natafuta kazi full time, part time, intership, volunteering. Kwenye taasisi yoyote ya usafirishaji
Nina uwezo mkubwa wa kufanya transport mareketing,
Pia nina market strategies za kufanya