@ACTinblood@BestaMlagila Wewe umetumwa ili kuupotosha ukweli na kuwarejesha nyuma vijana ktk harakati lkn naona umechelewa maana mpengo huu ulitakiwa uulete kabla ya mwezi wa 6 lkn pia Shein ameshindwa kuwafanyia uadilifu wananchi wake wacha liwalo na liwetu nyamafu wewe
Mwaka 2015 anaingia madarakani alikuta
Dollar 1 ni 1810 kwa sasa ni 2300
Sukari kg1 ni 1700 kwa sasa 3000
Petroleum 1320 kwa sasa ni 1900
Cement 15000 kwa sasa 19000
Like Re tweet utuambie ni nini kingine kavuruga kimependa mara dufu,
Chagua CHADEMA
@kigogo2014@isbnmax1 Swadakta na ndio maana wanamtembeza mitaani kwanza kuweza kuifaham majina ya mitaa na pia kufahamika na watu lkn hilo halitawaombea ni kichapo tu ndani ya sanduku la kura halafu liwalo na liwe ndio kauli mbiu yetu