@bwaya Hyo mwenyeji akajinijibu Kwa kilugha kwamba jamaa ni mwizi pale mtaani anapita na chochote anacho kutana nacho yeye hawezi Kutoa Hela yake kwani alishalizwa mara nyingi na hao wezi ,, nikimwangalia jamaa ana njaa kweli ,baada ya hap yule jamaa aliondoka bila hata msaada
@bwaya Leo nilikuwa nimekaa na rafiki YANGU ambaye ni mwenyeji sehemu tunakunywa maji AKAJA jamaa mmoja akaniomba Hela kweli nilitaka kumpa hata buku ila nilikuwa na Hela kubwa ,ikabidi nimwombe hyo mwenyeji wangu kama ana Hela ndogo ampe buku mshikaji ,,, unaendelea๐๐
Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.
@ImmvReal22@HecheJohn Unaelew maana ya matumizi sahihi za resilimali ?
Unaelewa maana ya sera nzuri za kiuchumi ?
maswali Yako nimejibu Kwa IQ kubwa ndio MAANA unapata shida ๐
@juma118505254@HecheJohn Hyo ndio hoja yetu ya msingi tujiulize kama WANanchi wa kawaida tuna wajibu gani Kwa viongozi wanaonekana kufanya matumiz mabaya ya Kodi zetu
@ImmvReal22@HecheJohn Kodi unayolipa ndiy hyo inayokuletea hospitali, Barbara,maji nk,, kwhy Hela unayolipa ina rudi kwako na Kwa ndug zako huko kijijini ,,jambo la msingi tukiwa na sera nzuri za kiuchumi na matumiz sahihi ya resilimali zetu ,tunaweza kupunguza mrudikano huu mkubwa wa Kodi