@spana_Konki Hii 9likia simple kila mtu angehukumiwa kwa makosa yake Iishe inachafua taswira ya hii ligi ni Muda wa Walioshuka pia kukataa kushuka ligi
Wezi wawili walienda kuiba bank walikuwa mtu na mdogo wake.
Walivamia bank moja hapo mjini walioingia tu ndani ya bank walianza kwa kikwala....
Risasi juu ikapigwa ikifwatiwa na sauti, wote laleni chini, watu wote walilala chini na kuwa kimya, Kisha yule mkubwa akasema ''Pesa ni mali ya Umma ila uhai ni wako wewe''
Wale watu walipokuwa wamelala kuna mdada alilala kimtego anawatega wezi, yule mdogo akasikika akisema ''Muwe na adabu hili ni tukio la wizi na sio ubakaji'' HAPA NI KUTAMBUA LENGO
Walipofanikiwa kuiba na kuondoka, walipofika nyumbani yule mdogo ambaye alikuwa ametoka kupata degree karibuni akamwambika kaka yake ambaye aliishia darasa la saba miaka sita iliyopita, akamwambia wahesabu zile pesa...
Kaka yake akamjibu akamwambia acha ujinga wewe hizi pesa ni nyingi hatuwezi kuzihesabu, usiku wa leo taatifa za habari zitatangaza ni kiasi gani cha pesa kilichopotea, hii inaitwa UZOEFU KAZINI.
siku hizi uzoefu ni muhimu kuliko kiwango cha ufaulu kinachoonekana katika vyeti...
Kule bank manager wa ile bank akamwambia supervisor awaite waandishi wa habari, lakini supervisor akamwambia kabla ya kuwahita ngoja tuchukue milion mia katika hizi pesa, hii inaitwa KUBADILI HATARI KUWA FURSA.
Nambie hapa ni yupi haswa anafaa kuwa mwizi katika hili tukio.
Kiufupi Simba walitakiwa waandike
Game na Pamba ni Nyepesi Tuwekeni Tucheze
Game na singida Ngumu Tunaomba Muda
Siku saba Maandalizi gani Magumu hata kama wanaenda kucheza na Barcelona ya Yamal
SIMBA imefanya tathmini ya ratiba ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Afrika kwa mechi za mwishoni mwa mwezi huu na mwanzoni mwa Disemba na baada ya hapo ikapeleka barua bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) ikiwa na maombi mawili.
.
Ombi la kwanza ambalo Simba imeliomba ni TPLB kuurudisha mchezo dhidi ya Pamba ambao awali ulipangwa kuchezwa Novemba 21 na kuahirishwa ili kuipa fursa ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Onze Bravos ya Angola, Novemba 27.
.
Ukiondoa hilo, Simba imeomba mchezo wake wa ugenini dhidi ya Singida Black Stars huko Singida ambao umepangwa kuchezwa Disemba Mosi uahirishwe kwa vile imebaini kuwa utaathiri maandalizi ya mechi yao ya pili ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya Algeria, Disemba 8.
.
Uamuzi wa kuomba mechi dhidi ya Pamba ichezwe kwa tarehe ileile iliyopangwa awali umechangiwa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa uhakika wa usafiri wa moja kwa moja wa ndege ambao utarahisisha timu kwenda na kurudi Mwanza kutokea Dar es Salaam na hivyo bado itakuwa na siku angalau tano za kujiandaa na mechi dhidi ya Bravos. Simba inaamini hadi inakabiliana na Pamba, itakuwa na idadi ya kutosha ya wachezaji kwa vile wengi waliopo katika timu za taifa watamaliza majukumu yao, Novemba 19.
.
Wakati huohuo, Simba imebaini kuwa haitopata fursa nzuri ya maandalizi ya mchezo dhidi ya CS Constantine iwapo itacheza mechi yake ya Ligi Kuu dhidi ya Singida Black Stars.

Na walitoa simple Task na zote nilizifanya zote kwa ubora
But aliyekuja kupata io kazi hakua akijua kabisa kudesign na yule Mwanangu ndio akaambiwa Atamfundisha a guy mgeni ambaye hajui hata software moja ya Editing
Kuj kugundua kuwa mgeni na Jamaa kiongoz wa idara ni ndugu🚮
Mi pia nimepitia kama hii kiufupi mafogo wengi wanaoshikiria idara zao hasa hii industry ni wabinafsi
Kuna kampuni X alikua anafanya kazi mwanangu flan nami ndio nilimpa Basics za Design ipo Posta siku ikatokea nafasi mwanangu akasema niombe siku ya interview nikaenda
Anaitwa Gillsaint Mlaseko maarufu kama G ukishindwa kabisa muite Zee la kuwazibia ridhiki vijana.
Kama roho mbaya angekua ni mtu basi huyu bwana ndo roho mbaya mwenyewe.Huyu bwana alimfanyia fitina mwanaume mwenzie afukuzwe kazi ili amchomekee kimada wake ajulikanaye kama S.