@YasTanzania_ Lain yangu ya unlimited yenye namba 0674327232 mpaka sasa haijaweza kuvuta internet. Nimewasiliana na nyie kwa 100 lakin baada ya kuzima na kuiwasha bado tatizo lipo pale pale.
Shida itakuwa nini.?
@IAMartin_@wizara_afyatz Hapo watu zaman walizuia jamaa asizalishe ili wapge pesa nje, sasa wameona dawa zake halali (ila waliamua kuziita feki enzi zao walaji) kwa hiyo wameona kinaweza kuzalisha. Ni bora kizalishe nchin kupunguza makali ya gharama ya kuagizia nje. Mbona kama inakuja hiv hii idea yangu
@EngMapundajr Noah unatembelea 140kph๐ซฃ alompita nahisi 160kph hapo mkononi kwa hesabu watu 6 kumvuta upande ni kitu cha kawaida. Plus kashindwa kuingia upande wa pili (sahihi kwake) lazima imshinde tu. Vijana Sifa Road Zinaua sana
@AllyAssed13070 Acha kukaa sehemu uliyozoea kupigia nyeto peke yako. Kama ndani acha kukaa ndani. Jitahidi muda mwingi uwe busy, unapoingia ndan uwe unaenda kulala tu.
Usikae peke yako mara kwa mara, hii inakurudishia hali ya kutaman kujichua.
Ukiweza kuepuka hayo, utaweza Kuacha