@TitoRichard5@Iamfelixtz Mpira una pande mbili uwanjani na vyumbani, kama ubora wa uwanjan imepungua basi ana umuhimu kwenye chumba cha kubadilishia nguo
@Hunaiya153989 @EngMapundajr Sio kweli unatunga na kuhalalisha biashara uchi mtaan, mama gani asiejua ugum wa maisha mpaka amuuze mtoto wake tamaa zenu tu