@raheliiiiiih @anuskills3 Mi naongea facts we unaleta mipasho. Niambie ktk team ya Morocco nani anatumia jina lake la kwanza kwenye jezi. ? Huyo Diop alipoamua kucheza Morocco aliambiwa abadili jina aweke Issa sababu Diop ni jina la Senegal. Pale Fulham hata akiwa westham kama sikosei kote alitumia Diop
@FKihamu Acha kujipendekeza ww, Morocco ndo walisema 2022 world cup kwamba hawachezi kwa ajili ya Africa Bali kwa ajili ya waarabu. Sasa unataka tuwashobokee? Bora ya Egypt na Algeria sio hao wajinga
@SaumuYanga@AbroadTanzania Bendera si hata balozi wa nyumba 10 anayo. Znz Haina vikosi vya ulinzi, jeshi police vyote ni majeshi ya muungano au JKU NA KMKM ndo unaita vikosi vya ulinzi? We kweli Yanga
@SaumuYanga@AbroadTanzania We ni zero. Znz kuwa na Rais haimaanishi ni nchi. Sio Kila nchi Ina Rais na sio Kila Rais anaongoza nchi. Uingereza ni nchi na Haina Rais. Huna point ww kaa kimya. Znz ilikua nchi mpaka 1964 kama Tanganyika. Znz inaitwa semi autonomous tafuta dictionary ikusaidie definition
@baraka_asege Damaro ttzo lake ni rafu TU lkn ana uwezo kuliko Aziz, Aziz ana relax sana uwanjani Yuko slow No. 6 hutakiwi kuwa hvyo ndo maana hapati namba na yy habadiliki style yake ndo ttzo la wazawa hawajiongezi
@djstago@AfricaFactsZone@MonteBlanq All top Tz athletics comes from that region Arusha , so why not ? Sometimes try to do some research before commenting shit
@kyamanungu1@YoungAfricansSC@premierleague So the league is weak bcos Okello is scoring or? Ask those Arab teams when was the last time they won here against Simba or Yanga in CAF games?