THE CRUISE (Saa 3:00 - 6:00 usiku)
ENEWZ MAMTONI
'Comeback' ya rapa Lil Wayne imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake ambao walikuwa wakimngoja kwa miaka takribani 6.
Unadhani kwanini wasanii wengi waliofanya poa kipindi cha nyuma wanashindwa kurudi ?
#TheCruise