@IWillLive_X Huyu alikuwa bora before Kulamba mkataba Mawinguni,,Alipopewa mkataba tu baasi Akadirei,,,na Alivokuja Kupewa PC na engineer Herse Ndo Akajisahau kabsa me naona Kuchambua Mpira kushamshinda Bora akachambue mpunga kijijini kwao Morogoro
@INFLUENCERjr@FKihamu Kaka Huyu Alikuwa Mkali Zamani Kabla Yakujuana Na Herse,,ila alivokutana Tu Na Ijinia akapewa LAPTOP Basiii Na Weledi ukaishia apo apo Saivi ni chawa kama machawa wengne