๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐: ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Sasa itaanza kuruka kupitia @azamtvtz kuanzia tarehe 21/12/2025 ndani ya channel ya #SinemaZetu
Vipaji HD kuzingatiwa!!!๐ฅ๐ฅ๐ฅ
#BSS#BSSS16#Code16#NextLevelRevolution
SASA BEYOND BORDERS | SI MCHEZOOOOO โ๏ธ
Tupo tayari, ni wakati wa kuondoka na kuandika historia mpya
Nov 09 - 10 : Arusha
Nov 16 - 17 : Mwanza
Nov 23 - 24 : Kampala
Nov 29 - 30 : Nairobi
Dec 07 - 08 : Babati
Dec 13 - 15 : Dar es Salaam
#BSS15#BeyondBorders#SiMchezooooo
Balaa la Bongo Star Search Si Linajulikana ?
Msimu Huu Sio wa Kukosa Kabisa ๐ฃ
Tunaviona vileee! Na tunakuja kuvifuata!!
๐น๐ฟ๐บ๐ฌ๐ฐ๐ช๐จ๐ฉ๐ง๐ฎ๐ท๐ผ
#BSS15#BeyondBorders#SiMchezooooo
I am always at awe of โmadamโ @msritapaulsen. Her resilience and determination to not bow down to defeat and soar high always inspires me to never give up no matter the circumstances!!
Alinipaga kazi yangu ya kwanza ya kutangaza kwenye TV.
My first tv hosting gig wa BSS Season One ๐ฅฐ
Hongereni sana team nzima ya @BongoStarSearch naona sasa mnavuka boarder. Tanzania to the world ๐
Team ya BSS ikiongozwa na CEO #MadamRita pamoja na viongozi was @StarTimesTZ wamefika Serena Kushuhudia Uzinduzi wa Kihistoria ๐ฅ
Tupo @serenahotelstz Kuzindua Msimu wa 15 wa @bongostarsearch BEYOND BORDERS | SI MCHEZO
๐น๐ฟ๐บ๐ฌ๐ฐ๐ช๐จ๐ฉ๐ง๐ฎ๐ท๐ผ
#BSS15#BeyondBorders#SiMchezooooo
Tupo Tayari Kuuzindua Msimu wa 15, Tupo Tayari kwa Sherehe Kubwa ya Mafanikio Kwa Miaka 15
Tupo @serenahotelstz Kuzindua Msimu wa 15 wa @bongostarsearch BEYOND BORDERS | SI MCHEZO
๐น๐ฟ๐บ๐ฌ๐ฐ๐ช๐จ๐ฉ๐ง๐ฎ๐ท๐ผ
#BSS15#BeyondBorders#SiMchezooooo
BSS tumefanya mkutano na waandishi wa habari nchini Uganda, tukieleza kuhusu msimu wa 15 ambao una lengo la Kusaka vipaji vipya vya Muziki Barani Afrika. Usahili Uganda utafanyika Tarahe 23 na 24 November Kampala - Uganda ๐บ๐ฌ
#BongoStarSearch#BeyondBorders#SiMchezoooo
Shukrani za dhati kwa Ubalozi wa Uganda ๐บ๐ฌ nchini Tanzania kwa kutupokea na kutupa fursa adhimu ya kuonana na Mheshimiwa Balozi, Kanali Mstaafu Fred Mwesigye kuongelea juu ya BSS kuingia nchini Uganda msimu huu.
#BongoStarSearch#BeyondBorders#SiMchezoooo