Welcome to GOAL RUSH TV — the home of cinematic football storytelling.
From World Cup 2026 moments to emotional football history, African football heroes
Germany on fire, but the real MVP just stole the show! 😂⚽️ Who else thinks this fan deserves a trophy for this energy? 🏆
Hashtags: #FootballMemes#FunnySports#SoccerEdit#FanCam
AI won't replace you.
But someone using AI will. 🚀
The future belongs to those who learn, adapt, and take action. Every skill you build today becomes your advantage tomorrow. Stop watching the AI revolution happen—be part of it.
💡 Are you already using AI in your daily work, business, or studies? Tell us your favorite AI tool in the comments!
👇 Drop "AI" if you're ready to become unstoppable.
#AIMastery #FutureReady #DigitalTransformation #SuccessMindset #ArtificialIntelligence #Innovation #Entrepreneurship #GrowthMindset #TechRevolution #FutureOfWork
Edward Charles Manyama amerejea tena Azam FC, baada ya msimu uliopita kuwatumikia Singida Black Stars. Mchezaji huyo alitua kwa mara ya kwanza katika viunga vya Chamazi msimu wa 2021-2022 akitokea Ruvu Shooting. Manyama amepewa kandarasi ya mwaka mmoja.
#AzamFC#Usajili
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa Katika Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Shughuli maalum ya Harambee ya CCM leo Tarehe 12 Agosti 2025
Mtangazaji wa Clouds Meena Ali akifanya Mahojiano na Mwenyekiti Wa CCM Dr Samia Suluhu Hassan Mara baada ya Kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Shughuli ya Harambee ya CCM 2025
Viongozi wa Umoja wa BodaBoda Tanzania ni miongoni mwa wanachama, wapenzi, wakereketwa wa CCM na Watanzania wapenda maendeleo katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, inayoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City,Dsm
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na uongozi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia