@Mkunga_Og Mpaka saiv ipo dawa moja kali kuliko viagra ninayoijua sana tangawizi vitunguu saumu punje 20 au zaid huo mkorogo changanya na asali alafu tumia vijiko 2 asubuhi na jioni usipokuwa sawa umelogwa
Wapo wanaume wengi wanao tumia pesa mingi kununua Booster za kuongeza nguvu zakiume na uume, Pasipo mafanikio yeyote.
Huku wengi wakisahau kuwa vyakula vya Asali ni chanzo kizuri cha vitamini na virutubisho muhimu katika mwili,
Ngoja nikusanue jambo usilo lifahamu katika mwili wako, Wanaume tunahitaji sana vyakula vyenye madini ya zinc kwa kuimarisha homoni ya Testosteroni.
Tumia mchanganyiko wa vyakula asilimia kwa afya yako. Epuka kudanganyika kwa madawa ni hatari kwa afya ya uzazi.
CODE: Maziwa mgando + Ndizi Mbivu +Karanga Mbichi na Tango, Usiweke sukari wala Asali.
Kunywa walau Glas moja kilasiku, Fanya na mazoezi ya Kegel mara kwa mara imarisha afya yako 🍆💦
Amka saa 12 asubuhi, pata glas moja ya maji ya vuguvugu yenye kiasi kidogo cha limao, Fanya mazoezi ya "Kegel" dk 30 tu.
Husaidia kupunguza mafuta katika mishipa ya damu na tumbo, kuimarisha afya ya figo na moyo, pamoja na kusaidia kuanzishwa kwa kimetaboliki katika mwili wako,
Kaambali na sukari, Matumizi ya sukari asubuhi sionzuri kwa afya yako, sukari nyingi mwilini hupelekea kuongezeka kwa uzito kupita kiasi,
Tumia asalii mbichi kwa chai ya soya ya maziwa, Kwa afya ya akili na ubongo wako, Epuka matumizi ya mkate kula walau yai moja kilasiku kwa afya ya moyo wako.
Usitumie kabisa soda, anza J-tatu yako bila ya kutumia soda kabisa, Kwa afya ya meno yako, Ini figo na mfumo wa kinga za mwili.
NB: Chukua dakika 5 tu za muda wako leo ukitoka katika mihangiko yako yakila siku, Embu fikiria baraka zako, Zihesabu na uzitaje kwa kinywa chako moja baada ya nyingine. Itaboresha sana mtizamo wako juu ya maisha. ZINGATIA ⚖
JINSI YA KUFANYA ACTIVATION WINDOW 10 NA WINDOW 11
Kompyuta Yako inadai activation? Umeshindwa kufanya Activation ya windows Kwenye kompyuta Yako ?
Usijali Leo nakupa njia rahisi ya kupiga hela kwa ndugu , jamaa, na marafiki simple
Repost
Likes
Follow 👋
USHAURI WA BURE: Lada nikushauri jambo kulingana na matatizo ya nguvu za kiume,
Kwanzaa kabisa Usikurupuke, Relax mtafutie mwanamke wako maneno ya kujitete kulingana na situation,
Muda Mwingine yawezakuwa hali ya kisaikolojia tu na sio tatizo kubwaa kukutoa jasho,
Kama wewe ni una uraibu wa punyeto jitahidi kuacha kwani jinsi unavyo endelea kupiga, ndivyo unaongeza usugu wa tatizo,
Mwili wako uwe ni wa mazoezi muda wote, Punguza kubweteka, fanya mazoezi ya Kegel kutwa mara Mbili kila siku,
Usikimbilie kutafuta madawa yakuongeza nguvu zakiume, nimara mia unitafute nikupe tiba lishe na mbinu zakufwata kutatua tatizo.
NB: Kesho nitakuletea soma, Juu ya kutatua tatizo hili, kisaikolojia na kimwili pia,
Muhimu chakufanya wewe Nifollow, Turn on post notification, Join my Telegram chanel👉 https://t.co/nGSRWbPALv , Usipage kukosa makala hata moja. ASANTE SANA 🙏
HATUA 8 ZA KUBADILI MAISHA YAKO KIBABE 🫡
Ukiufuata huu mkeka, UMETOBOA!
Bookmark Na Share Na Wana!
1. Potea na uwekeze kichwani mwako.
Unahitaji kuadimika kwa muda na uingie chimbo.
Jifue. Soma kozi, vitabu, audio n.k
Usishindane na mtu kuwa bora zaidi ya jana.
2. Fanya mazoezi.
Piga gym.
Jog.
Squats.
Aerobic na cardio za kutosha.
Jenga mwili wako.
Kuwa fit.
Tizi litakusaidia kuongeza nidhamu ya maisha.
3. Kula vizuri.
Acha sukari.
Acha energy drinks.
Acha junk food.
Punguza wanga.
Kula protini nzuri.
Mbogamboga na matunda.
Jali afya yako. Huo ndo…
Mtajia No. 1
4. Usijali maneno na kelele za watu.
Kuwa jeshi la mtu 1.
Usitamani kurizisha watu.
Jipiganie mwenyewe.
Wakigundua kuwa hujali ngebe zao,
Basi umefanikiwa sana.
Hawatakuweza kamwe.
5. Jiandae na maisha ya kesho.
Jifunze ujuzi adimu.
Jifunze kuuza.
Jifunze kusaka noti.
Wekeza.
Fungua biashara.
Nunua stocks or bonds.
Nunua mifugo.
Wekeza kwenye future.
6. Tawala matendo na hisia zako.
Mambo ya waja kutoka nje huwezi kucontrol.
Control reactions zako.
Usiwe mtu wa hisia.
Be emotional stable.
Usipelekwe na maneno ya watu, na
Kufanya ujinga.
7. Ifundishe mind yako kuwa beast.
Ifanya kazi bila kuchoka.
Iwaze mambo ya msingi pekee.
Iishi leo na si jana au kesho.
Iwe na utawala wa mambo yanayotokea kwenye maisha yako.
8. Kuwa mbinafsi kwa energy na muda wako.
Usikubali kutumika kizembe.
Kuwa adimu.
Don’t be overly available.
Wenye kuleta thamani, wape thamani.
Energy vampires wote wakate.
Be selfish. Be vigilant.
You deserve better.
#Tutoboewote
#Jeshilam2m1
Kama Unafanya kazi SOMA hii⁉️
Utaokoa Maisha yako...🫡
Siku hizi kumekuwa na ongezeko la vifo vya ghafla kya vijana wengi (24-45).
Kwanini?
Kuna sababu nyingi lakini jambo la msingi tumepoteza dira ya maisha,
Focus kubwa ya vijana imekuwa kwenye mambo 2 makubwa:
1. Kusaka noti
2. Kuponda maisha
Zamani wazee wetu walidumu sana kutokana na lifestyle yao:
i. Kutafuta chakula kwa nguvu kubwa
ii. Kutembea na kukimbia umbali mrefu wakitafuta chakula (Mazoezi)
iii. Kula vyakula vya asili
iv. Kutokula kabisa bidhaa
➡️SASA SISI TUMEGHUBIKWA NA AINA MPYA YA MAISHA:
1. Kutafuta na Kusahau Afya
Watu wamewekeza nguvu kubwa kwenye kutafuta maisha kuliko kawaida.
Sio kitu kibaya kufanya kazi kwa bidii.
Mimi mwenyewe nafanya kazi kwa muda mrefu sana.
Suala la msingi, unatunzaje afya yako?
Mind you, unaweza kutafuta sana pesa ukiwa kijana na kuja kuitafuta sana afya ukiwa mzee.
Mimi ninaamini kwenye yote 2.
TUTAFUTE PESA NA HUKU TUKITUNZA AFYA ZETU.
2. Kula Hovyo bila Kujali Afya
Watu wengi hasa wanaofanya kazi za maofisini,
Hawali kwa makusudi,
Wamejaza sukari, milo, maziwa feki, jam, mayonnaise, margarine na bidhaa zingine ofisini mwao.
Mikate ndio vyakula visivyokatika ofisini.
Wakitoka kwenda kula: wanakula kuku wa kisasa, soda, energy, na junk food kama zote.
Kwa kifupi kula kwa afya sio kipaumbele kabisa.
Ni huzuni sana.
3. Kutokufanya Mazoezi
Kufanya mazoezi peke yake kuna kuepusha na magonjwa mengi sana.
Sasa watu wanatumia magari kwenda kazini,
Wanaamka na kwenda job bila kufanya mazoezi,
Wakitaka kwenda lunch wanatumia usafiri,
Wakiwa ofisni wanatumia lift kupanda juu,
Kwa kifupi miili imelemewa na mafuta na nyama uzembe.
Kwa namna hii utapata kila aina na madhara na udhaifu.
Miili haitumikishwi kabisa na,
Mwanadamu anakuwa imara anapokuwa na rapsha rapsha na mambo yanayofanya mwili usikae kizembe.
4. Kukaa kwa Muda Mrefu
Mwili wa mwanadamu kimuundo unatakiwa kuwa umesimama zaidi kuliko kukaa.
Ndo maana kuna changamoto nyingi sana za magonjwa zitokanazo na kukaa kwa muda mrefu.
Mwili wa mwanadamu unatakiwa kuwa na balance nzuri ya kukaa na kusimama.
Sasa unakaa kwenye usafiri kwenda kazini,
Kazini muda wote umekaa,
Ukienda lunch umekaa,
Ukirudi nyumbani kwenye usafiri umekaa,
Nyumbani unakaa.
Unadhani bawasiri utaikwepaje hapa?
Unadhani low back pain utaikosaje hapa?
Lazima tu utawindwa na magonjwa kadha wa kadha.
5. Kutokuwa na Vifaa Bora vya Kufanyia Kazi
Kwa watu wanaokaa kwa muda mrefu wanatakiwa
kuwa na viti maalum na meza za kufanyia kazi.
Unatakiwa kuwa na adjustable table,
Meza unayoweza kuitumia ukiwa umekaa na
ukichoka ukabadilisha ikawa ndefu ukasimama.
Na ukafanya kazi ukiwa umesimama.
Wapo wengi wana meza hizi lakini hawazitumii kikamilifu.
Kaka yangu @MalemboLE anayo hii meza na huwa anajitahidi kuitumia kikamilifu. Tujifunze.
Haya je tunatumia viti gani?
Watu wengi hawatumii vitu bora,
Vinavyoruhusu kukaa kwa muda mrefu ukiwa kwenye pozi sahihi.
Hivi ni baadhi tu ya vifaa vya muhimu zaidi kwa,
Utendaji kazi bora na kulinda afya zetu.
6. Stress za Mapenzi
Kumekuwa na chipuko kubwa la soy boys na simps kwa vijana wengi.
Wenye pesa na wasio na pesa. Mapenzi yanawanyanyasa.
Wenye pesa wanadhani wanastaihili kupendwa kwa sababu wanazo, huzuni!
Wasionazo wanadhani wanastahili kupendwa kwa sababu wanajipendekeza kupitiliza. Dah!
Wote ni maumivu tu.
Ku-survive mapenzi kwa dhama hizi unakuwa ujuzi adimu.
Unahitaji kujifunza kubalance shobo za mapenzi.
Lazima ujifunze kutokuwa simp na soy boy.
➡️Wanawake watakupenda na kukuheshimu ukionesha:
..Unayejali, linda, fikisha kunako, tunza, ongoza.
LAKINI, lazima uwe na:
..Sauti
..Mamlaka
..Uongozi
..Usiyetabirika
..Usiyekubali ujinga
HAYA YOTE UNATAKIWA KUBALANCE SHOBO.
7. Kutokufanya Kazi Unayopenda
Watu wengi wamekuwa na kawaida ya kufanya kazi zinazowaingizia pesa,
Bila kujali wanapenda au la.
Sibishi, kwa mazingira yetu wengi wanakuwa hawana uchaguzi na kuishia,
Kufanya kazi wasizozipenda ili tu mkono uende kinywani.
Tatizo ni kuwa haya maisha yana stress nyingi sana kuliko furaha ukiwa kazini.
Hawa ndio watu wanachukia zaidi Jumatatu na kufurahisi kila Ijumaa.
Maisha yao yote wanawaza kumaliza kazi na kuanza wikendi.
Ikifika Jumapili wanaanza mawazo kuwaza blue Monday.
Tofauti ni kuwa ukifanya kazi unayoipenda sana,
Unakuwa hujui tofauti ya kazi na kupumzika.
Unatamani kufanya kazi muda wote maana ni sehemu ya maisha yako.
Ukiweza, jitafute, wafanyie kazi kwa muda ukijitafuta - Siku moja amka ukiwa unaenda kufanya kazi unayopenda kutoka moyoni.
Na sio kukaa kwenye kazi unalaani kila siku,
Na maisha ya kazi yanachukua muda wetu mwingi wa hapa duniani.
Furaha yako imebaki kwenye kupokea mshahara tu.
You can do better.
Work on yourself more than you work on your job,
...Jim Rohn.
Bonus:
8. Kukosa balance ya maisha
9. Kunywa pombe na kupati kupitiliza
➡️MADHARA YA LIFESTYLE HII:
i. Kuugua mara kwa mara
ii. Kuwa umechoka muda wote
iii. Kukosa hamu ya chakula
iv. Kunenepa bila mpango
v. Kuotesha vitambi uchwara
vi. Bawasiri kushamiri
vii. Low back pain kuzidi
viii. Magonjwa ya moyo
ix. Kuongezeka kwa pressure na kisukari
x. Upungufu wa nguvu za kiume
xi. Kukosa furaha na maisha
xii. Stress zisizoisha
xiii. Na mengine mengi
➡️ NINI KIFANYIKE?
✅FIX maisha yako:
1. Kula vizuri
2. Fanya mazoezi (3-7 kwa wiki)
3. Kuwa mtu wa movements – Tumikisha mwili
4. Tumia vifaa bora kazini
5. Ondoa sukari, jam, margarine, mikate na bidhaa zote ofisini
6. Ongeza muda wa kutembea kwa miguu
7. Jifunze ku-survive mapenzi
8. Fanya unachopenda au penda unachofanya
9. Paki gari mbali na utembee
10. Ukiwa karibu na kazini nenda kwa miguu
11. Usitumie lift kupanda majengo
12. Ukiwa karibu na kazini nenda kwa miguu
13. Punguza kupati i.e pombe
Nakuamini sana kuliko unavyojiamini,
You brother
Millambo, R.
15-09-2023
Kimara Baruti, DSM.
#Tutoboewote
#Jeshilam2m1
Kabla sijaingia kwenye industry ya Hospitality sikuwahi kujua utofauti wa Hotel, Motel, Guest House n.k
I'm sure wengi pia hawajui tofauti zake.
Wacha Leo nizielezee hapa, watu wajue tofauti na operation za hizi nyumba za wageni 🧵👇🏾
Ukiwa unatafuta the best marketer, copywriter au sales person kwa ajili ya kampuni yako unaangalia nini
A: Uwezo wake kupreach na kukuaminisha kuwa anaweza ku perform vizuri kwenye hiyo nafasi
B: Mafanikio yake (portfolio), ameshwahi kumarket kitu gani kikapata mafanikio gani, amendika copy ngap ambazo zimeuza kias gani, ana sells skills kias gan ambazo zimefanya auze nini kwa ukubwa gani,
Hapa ni mfano wa txt ambazo sipendi zitoke kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke wake.
1. Umelala?
2. Mbona nakutumia txt haujibu?
3. Inamaana missed calls zangu hauzioni?
4. Ume enjoy? [After sex]
5. Weekend tunaweza kuonana?
Instead try things like.
5. Weekend hii naomba tuonane saa 10 jioni eneo X (zingatia mda ambao ni convinient kwake) kama hana mda atakujibu na mtaelewana kwa urahisi.
4. Usishukuru wala kuuliza inatakiwa ije automatically kutoka kwake (asiposema haimaanishi haujaichapa vizuri)
3&2. Akikucheki keep conversation normal usiulize kausha tu huku ukiangalia PROJECT MPYA. (Zingatia nature ya majukumu yake)
1. So weird ila to be from a man. Aulize yeye.
BONUS.
(a) Usipende kum-criticise mwanamke wako, msifie.
(b) Akizingua usisite kumfokea ukiogopa atakuacha.
Mwisho kabisa, chase goals and money the most, wanawake wapo sana.
Ukitafuta pesa unapata pesa na wanawake, ukisaka wanawake kwa nguvu na hauna pesa ni unakosa wanawake zaidi.
Mambo Muhimu Mwanaume Kuishi Nayo Kila Siku Yaani 7/7.
Kunywa maji lita 3-5 kilasiku katika siku 7 za week.
Fanya mazoezi ya Kegel walau asubuhi na jioni, Ukishindwa sana mara 1 kwa siku.
Pata Combo ya Karanga + Maziwa Fresh + Asali Mbichi + Tende 250g walau Glas 1 kila siku....🍆🍑
Epuka kuangalia picha za porn, Kua imara kisaikolojia, kwa afya yako.
Achakabisa uraibu wa punyeto nihatari kwa afya yako ya uzazi.
Lala walau masaa 7-8 kilasiki kuruhusu mwili upumzike ni afya.
Mwanaume lala uchi kwa afya yako ya uzazi, Epuka nguo zakubana usiku, Au kulala na Jinsi.
NB: Usifanye ngono mara kwa mara kama huna uakika wa chakula bora, Tunza homoni zako za Testosterone, Epuka Udhaifu. TUISHI HAPA KWA LEO..✍
Punyeto Ni Adui Mkubwa Wa Afyaa Yako Ya Uzazi, Punyeto Ni Uraibu Hatari Kwa Wanaume.
Uzi🧵
Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo cha kupiga punyeto.
kuwahi kufika kileleni, kushindwa kurudia tendo na uume kusimama legelege, Sababu kuu ni Punyeto.
Katika somo letu la leo nimeeleza kwa kina tatizo hili la kupiga punyeto na huduma ya tiba kwa wanaume wanaokwama kitandani.
👇
Mambo Ya Muhimu Kuzingatia Katika Maisha Ya Kila Siku.
Uzi🧵
1.JIAMINI
Mafanikio ya kweli yanaanza na wewe. Hivyo, kujiamini ni msingi mzuri utakaokufanya utambue uwezo wako katika kufanya jambo fulani.
AMINI UWEZO WA KUFANYA JAMBO LOLOTE UKO MIKONONI MWAKO..✍
》EPUKA MAKUNDI YA VISHAWISHI VYA KUPIGA PUNYETO.
Wapo vijana wanao husika kama wanachama wakudumu wapunyeto mfano huku Twitter 𝕏, Wapo wengi sana jiepushe nao kabisa kama una lengo la kutaka jinasua uko.
》KUWA NA HOFU YA MUNGU:
Vijana wengi wanao jihusisha na mchezo huu wa punyeto wanakosa ata ile hofu ya mungu, Ukimuomba mungu na akuepushe na tamaa za mwili na kuweka nia hakika utafanikiwa.
NB; Hakikisha unaepuka kukaa mwenyewe kwa mda mrefu, kukaa chooni au bafuni kwa mda mrefu. ASANTENE SANA 🙏