Kushukuru hakujarishi uko na hali gani,cha msingi ni kushukuru tu ata kwa kuwa mzima tu!,HAPPY BIRTHDAYT 2 me!!thanks dear GOG,dear dear BABA and dear MAMA nasema ahsante!!
Kushukuru hakujarishi uko na hali gani,cha msingi ni kushukuru tu ata kwa kuwa mzima tu!,HAPPY BIRTHDAYT 2 me!!thanks dear GOG,dear dear BABA and dear MAMA nasema ahsante!!
Ukiamini Mungu yupo ni vema sana ukasali sana maana rafiki yako mzuri wa sasa ndiyo adui yako mkubwa kesho!!,siku zote tunaamini ukweli humweka mtu kuwa huru lkn si kwa nyakati hizi,.
@Roma_Mkatoliki Huu ndo ulimbukeni wa sisi watanzania,kuiga jambo lisilo na maana ndo huwa kipaumbele sana midomon mwao,naamini wote wanaotumia maneno hayo walitangulia miguu badala ya kichwa,kwetu ilolo vwawa mbeya Tz.