@HildaNewton21@CloudsMediaLive Hilda ujuwe mm sisgangai hawa clouds eti kukataliwa ule uwanja ule maanaa nao wlikuwa wananyansa sana wasanii ww mpka sas uliwai sikia wanapiga nyimbo za mond au afande sele????
@HildaNewton21@Jerome_johnn@diamondplatnumz Nadhan ubaya wa hiyo crouds kuto kupiga nyimbo za wasani eti ukiwa tuu na visaa na mmoja wa wafanyakazi wao nyimbo zako hazipigwi sasa wanalipw nao wawe wapole ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
@DuboJackson_ Nkubali apo kwenye clouds maana wenyew wlikuwa wanaamuwa tuuu hawapigi nyimbo za wasani eti labda boss wao akiwa na vina na msanii leo wamefanyiwa wanahuzunika nn ss ????๐๐๐๐
Jamn ivi leo nmeskia katibu mkuu wa chadema anatowa sababu kwann mbowe na matiko hawakufika siku moja mahakamn naombeni maoni yenu mliosikia piaah plz ๐น๐น๐น๐ธ๐ธ๐ธ๐๐๐naenda kwa tramp mie