🚨Wayne Rooney on Arsenal losing the champions league: “Arsenal have been robbed tonight”
🗣️ “I’ll be completely honest, Arsenal were absolutely robbed tonight, there is no other way to put it. You look at that foul on Noni Madueke in the box; it’s a stonewall, 100% clear penalty. How the referee or VAR hasn't given that is beyond me, and it completely changes the dynamic of a Champions League final.
But for me, the moment that truly gave it away the moment you knew exactly what the referee was doing was that halftime whistle. To blow the whistle right as Arsenal are literally standing there about to take a corner? I’ve played this game a long time, and you rarely see that unless there’s a blatant bias. It was shocking, and it set the tone for everything that followed.
In the second half, it became a totally different game, and not because of the football. The referee made absolutely sure that every single 50/50 call, every little nudge, and every major decision went straight to PSG. It completely killed Arsenal’s momentum. But to be fair, I’m not even surprised. We saw the exact same story when they played Bayern Munich earlier in the tournament. The officiating was heavily skewed then, and it’s happened again on the biggest stage.
PSG might be lifting the trophy, but they cannot honestly look at themselves in the mirror and be proud of the way they’ve won this final. To win the biggest prize in club football like that? It leaves a horrible taste. Arsenal deserved so much more tonight.”
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️
Shuka na Thread hadi mwisho👇
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo.
Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo.
Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane.
Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda.
Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa.
Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo.
Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema.
Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi.
Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa.
Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha.
Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine.
Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya.
Part 2 inaendelea hapa 👇
Fortunatus Buyobe, tunashikamana nawe kwa nguvu zote, tukiwa na matumaini kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa uangalifu.
Ili kulinda haki yako na kuhakikisha usawa unapatikana katika mchakato mzima.
Sisi, kama jamii, tuko na wewe katika kipindi hiki kigumu, tukiomba kwa nguvu zote kwamba vyombo husika vitatoa majibu ya haraka, ili matatizo haya yaishe kwa haki na utulivu.
Katika mchakato huu, tusikate tamaa tunajua kuwa haki itashinda.
Wewe ni sehemu muhimu ya familia yako, jamii yako na taifa letu, na hakuna chochote kitakachozuia mchakato wa haki na urejesho wa amani.
Tunaendelea na dua na matumaini, tunasimama na wewe, kwa ujasiri na nguvu, huku tukisubiri matokeo ya haki. #FreeBuyobe
Ni wazi kwamba, kama sheria za nchi zinavyoelekeza, haki za mtu binafsi zinapaswa kutambuliwa na kulindwa kwa mfumo wa utawala wa sheria, bila kujali hali yoyote.
Ufanisi wa mchakato wa kisheria ni kipimo cha ujasiri wa nchi na mwenendo wa demokrasia.
Ikiwa serikali inataka kudumisha imani ya wananchi na uaminifu wa kimataifa, basi kudumisha misingi ya haki ni muhimu zaidi kuliko kutumia mbinu za kivita zisizo na usahihi.
Kwa mtindo wa kivuli, hii ni operesheni inayohitaji uangalizi mkubwa.
Hatuwezi kuwa na mipango ya siri yenye madhara kwa haki za raia na hatuwezi kuficha matendo haya nyuma ya mapenzi ya kisiasa au maslahi ya usalama wa taifa.
Haki za binadamu ni misingi isiyoharibika, ikiwa tutavunja sheria kwa madhumuni ya kuleta udhibiti wa haraka.
Hatutakuwa tukijenga utawala wa sheria bali tutaendelea kujiingiza katika mtego wa kivuli wenye madhara makubwa kwa utawala wa haki.
Katika ulimwengu wa kisasa wa inteligensia na mipango ya kivuli, kutokufuata utaratibu wa kisheria kunaweza kuleta mgawanyiko mkubwa.
Ambapo uaminifu wa wananchi katika mfumo wa kisheria utaanguka, na jinsi jamii inavyoshirikiana na vyombo vya dola itakosa usawa na uwajibikaji.
Haki ni nguzo ya msingi ya ustawi wa taifa, kiwango cha utawala wa sheria ndiyo kipimo cha utawala bora na maadili ya kisiasa.
Matumizi ya kisheria yanawekwa wazi ili kila mmoja ajue kwamba hakuna anayeweza kupora uhuru wa mwingine kwa maslahi binafsi, na hakuna anayepaswa kuwa juu ya sheria.
Sheria za kikatiba zinataka kuona haki inatekelezwa bila hofu na kwa uwazi wa kisheria.
Kwa hivyo, kuendelea kuficha mtu, bila taratibu za kisheria, hakutatufikisha kwenye madhumuni ya kidemokrasia au usawa wa kijamii. #FreeBuyobe
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
Kuwa mwanaume wakati mwingine ni kama kubeba mlima ambao hukuchagua wewe.
Jamii huona heshima, lakini mara nyingi ni mzigo. @NadiaAhmedTZ
Tazama au sikiliza sasa https://t.co/L9o4ymnsqW
Kwa nini mwanaume huhisi thamani yake inategemea kile anachofanya, si yeye ni nani?
Mzigo wa kuwa “mwanaume wa nyumba” ni mzito — lakini nani humshika anapovunjika?
@NadiaAhmedTZ@MichaelBaruti
https://t.co/0VEKkfbJJV
The Archbishop of Dar es Salaam issues a passionate appeal concerning a troubling rise in unexplained disappearances and kidnappings across the country over the past two years.
https://t.co/CtHe4jGOjH