@laurauyogirl I think you are supposed to specify calculations of which field because nobody is perfect in all fields (MATHEMATICS IS GENERAL)
- Accounting
_ Physics
_ Engineering
Chunguza tu kwa makini, Wanaume wanaoa wanawake ambao hawana mambo Mengi, Unajua ni kwa nini? Sababu sisi wanaume tunamambo mengi sana, Kwahiyo hatuhitaji mtu mwingine aje kuongeza mambo kuwa Mengi zaidi.
Usiwe Bubu Unapokutana Na Mwanamke Kwenye Outing Zenu!
Uliza Haya Maswali 16 Ili Kuendelea Kumvutia..
Kumbuka lugha ya mwili na sauti isiwe kama Afande anahoji Jambazi..
UZI
Kijana wa watu kaenda ofisini kwa yule Mzee akijua anaenda kupewa AJIRA.
Badala yake akapewa KAZI, ambayo hakutarajia. Yule Mzee alipomuona akasema... "Aaahhh ndio umekuja Kijana! Safi sana, naona wewe ni mtanashati sana"
Kijana kwa furaha ya bashasha akachekelea 👇🏾🧵