#SWALILAKIZUSHI
TAJA KITU UNACHOMILIKI WEWE, LAKINI KINATUMIKA ZAIDI NA WATU WENGINE. ATAKAYEPATIA WA KWANZA NINA VOCHA YAKE.
UJANJA KUWAHI UPATE VOCHA
#NoKnownAddress but the vibes got GPS Locked on this A List headliners; @abigail_chams, @misterjoozey, @blaq.papie, @apukiofficial, @djRock4Mla @fevushka_ @s1rholly Baddest Party of the Year that ainβt on the map.16th May We Do We kivyetu Vyetu THE ADDRESS DROPS TODAY!!!
Shangwee!!.ni Kuanzia 20 - 23 Machi 2025,Naivasha kuna mbio za WRC Safari Rally!. Pia Kenya ina mandhari,fukwe,historia na tamaduni za kipekee.Tembelea @MagicalKenya kupitia linki: https://t.co/hMUCjldE0b kujifunza zaidi!
#WRC#MagicalKenya#TwendeKwaJirani#SafariRallyKenya2025
Msisimko umeanza! Kuanzia 20 - 23 Machi 2025, Naivasha itawaka moto na mbio kali za WRC Safari Rally! πππ¨. Lakini sio tu rally β π°πͺ Kenya ina mengi zaidi! Mandhari za kuvutia, miji yenye historia na tamaduni za kipekee, na fukwe nzuri. Tembelea @MagicalKenya kupitia linki:
Leo nimenyambaπ kimoyomoyo kwa gari nikidhani haitatesaπ, kidogo kidogo mzae alikua ameketi kando yangu akafungua dirisha akisema hii weather ya leo ikiendelea hivi kutanyesha mafiπππ
@SuluhuSamia Hakika mama wew ni wa tofauti, hatuna la kukuambia ila kazi unayoifanya imetukuka, watu tunaishi kwa amani, hamna matukio ya utekaji waka uuaji, wala wizi, wala ufisad, yani mpaka tunataman kuandamana kuja had ikulu kukupongeza, hajawah tokea kama wew. Mungu yupo na atatenda,
@FatumaCute@SuluhuSamia Nimekuelewa sana dada yangu, yani nchi imetulia, watu wote tuna aman mpata tunataman kuandamana kwenda kumpongeza rais ikulu, hakika hatujawah kupata kama Mama, Hatutamsahau mpaka makaburin kwetu, vizaz na vizaz havitamsahau thawabu ataipata hata akiwa ahera
Kinachokupa Furaha wewe, kinaweza kisimpe furaha mwenzako, kinachokupa amani, kinaweza kisimpe amani mwenzako, kwa hyo usitake unachopenda wewe, na mwenzako akipende, au anachopenda mwenzako na wew ukipende,
KILA MTU ANA CHAGUO LAKE.