For the 1st time namskia kiongozi wa CCM anaongelea haki……NAOMBA KURUDIA HII NDIO MARA YA KWANZA KIONGOZI MKUBWA WA CCM NJE YA WARIOBA AMEKUBALI KUWA HAKI NDIO TATIZO…….
I don’t know how to take this maana sina Imani kabisa na watu wa CCM. So sijui kabisa kama Nchimbi yuko sincere na hili swala la haki…..
HAKI, UWAZI NA UWAJIBIKAJI NDIO VITU PEKEE VITAPONYA TAIFA NA KUTUTOA HAPA TULIPO…………
KATIBA MPYA NA UCHAGUZI WA HAKI KURUDIWA NDIO VITU PEKEE VITAPOOZA MAUMIVU YA OCTOBER 29……. SIO KUDANGANYANA KWA MARIDHIANO YA KIHUNI………
HATURUDI NYUMA….. SAFARI YA UKOMBOZI HAIJAWAHI KUWA RAHISI. Ushindi ni lazma na TUTASHINDA…..
Kuanzia sasa Tanzania ni lazma kuwe na maandamano all the time mpaka haki ipatikane kwenye nchi yetu. Haki kwanza , haki ikipatikana amani itafuata automatically.
Mkti Tundu Lissu anasema ,
Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi. Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi. Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile tutawasaidia wananchi. Lolote kati ya hayo matatu lina faida kwetu kama tusipozimia mioyo. Kuweni IMARA. 😭😭😭😭
Watanzania wote. Kuanzia sasa ni mtindo wa kugomea mikutano na matukio ya hawa mawaziri kharamu. Mnawatengenzea uhalali ambao hawana. Kwa nini mnaenda kutoa kero kwenye serikali kharamu. Mbona hamjielewi. Msikilizeni sana @mangekimambi, anayo hoja.
#D9Tunatoka
‼️Akili kichwani 🙄‼️
Wamemwaga makachero kuwachota watu kwenye hii mikutano! Acheni kuhudhuria mikutano - hizi taarifa wanatuma wazalendo SHTUKENI!
Wakija hawa maharakia wapuuzeni 🚮
#D9 hakikisha unaweka historia !
#SamiaMustGo
‼️🚨MAPENDEKEZO RUTI ZA DAR ES SALAAM #D9‼️
Kuna mdau katuma mapendekezo ya route za Dar es Salaam kwa ajili ya maandamano ya #D9 na amependekeza yaanze serikali za mitaa na baada ya hapo kuendelea makutano mengine
Kila kikundi kitaamua mi naweka mapendekezo 💪🏽
Maoni na mapendekezo yanakaribishws
#D9 ni siku ya ukombozi!
#SamiaMustGo
Watalii wakisepa BONGO kukimbia MAANDAMANO ya Disemba 9.
Hii picha imepigwa Alfajiri ya LEO. Nchi imevimba kiu ya kutaka HAKI imetawala kila KONA ya nchi.
#D9#Dieemba9Tunatoka#SiriNiNamba#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
BREAKING: Sakata lililoibuliwa na CNN la kufukia miili kwenye makaburi ya alaiki eneo la Kondo, limechukua sura mpya ambapo askari Polisi walipazingira eneo hilo kuanzia juzi, na usiku wa kuamkia jana wameanza kufukua miili hiyo. Kuna wazalendo wanafuatilia wanakohamishia miili.
💔💔💔 FAMILY MEMBER RECOGNIZES BODY OF SIBLING IN VIDEO‼️
This is just one family that is searching for a loved one, there are thousands. - and @SuluhuSamia the illegitimate president and her cabal are gaslighting us that this is fake!
These people are monsters!
Yaani huyu mtu alikuwa anatafuta mwili wa mdogo wake anakuja kuikuta kwenye video 😢
Hivi nyie @ccm_tanzania mnafikiri mtapata amani tena? Ondokeni! Nilishawaambia miaka kadhaa ondokeni maana mkija kutolewa itakuja na ghadhabu na hasira kubwa - aanze kuondoka Muuaji Mkuu wa Taifa! Hii si ombi #SamiaMustGo
Alafu wabunge wote rudini makwenu RESIGN now! Anayeendelea kubaki tunamchukulia kuwa ni guilty!
Chukulieni VERY SERIOUSLY ushauri wangu!
You have crossed all the red lines!
#TanzaniaMassacre
Watu wamezika MIGOMBA baada ya kutafuta Maiti za ndugu zao bila mafanikio. Leo wanaona maiti za ndugu zao kwenye Mochwari ya Mwananyamala na walifika kuulizia wakaambiwa maiti za wapendwa wao hazipo.
MSIBA unaanza upya—tupeni miili ya Ndugu zetu tukazike kwa heshima ya kidini na kimila zetu kama waafrika.
This is Mwananyamala Morrtuary where the body of Kenyan John Okoth Ogutu is reported to have been taken after he was shot and killed in Ubungo area of Dar es Salaam on 29th October 2025
The video is courtesy of @mangekimambi who is one of the most reliable sources of information on the massacre that was witnessed in Tanzania.
When John’s colleagues went to this morgue after the violence subsided, they were shown and informed that there were only two bodies at the morgue! Where did they take all these bodies? Where is the body of John Okoth Ogutu?
As Kenyans, we have a moral, legal and divine duty to call for justice. Not just for John Okoth Ogutu but all that were killed by @SuluhuSamia’s illegitimate government.
Kwenye hiyo video ambayo mnasema ni AI tumeona ndugu zetu na hatujafanikiwa kuwazika tumeishia kuzika NGUO zao—tangu lini ndugu zetu wamegeuka kuwa AI?
AI ambayo imesingiziwa IMEKATAA kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza VIDEO HII NI HALISI.
Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu zetu ipo wapi tunataka Kuzika ndugu zetu sio nguo zao.
Mwaka huu mmejiandaa kuisingizia AI kwenye kila jambo.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎