Mwanasheria mkuu wa Chama Dr Nshala tunakushukuru kwa uwakilishi mzuri.
Dunia nzima lazima ipige kelele dhidi ya uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu Tanzania, mauaji, utekaji ukatili na kubambikizia wapinzani kesi za uongo.
Kama ilivyokua wakati wa kupinga makaburu kule Afrika kusini na Zimbabwe lazima kila kona utoke mwangwi wa kutaka haki.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @HecheJohn, akivuka kwa mtumbwi kutoka Kisorya kwenda Ukerewe mchana huu, tayari kwa mkutano wa hadhara utakaofanyika leo Nansio, Ukerewe.
Tundu Lissu. The man, the myth, the legend.
Mwenyekiti @TunduALissu amemaliza kutoa hoja zake za mwisho (final submission) katika kesi ya uhaini inayomkabili. Ujumbe wake ni kwamba TUSIOGOPE. Nimemfikishia ule ujumbe wa kiduanzi wa MaCCM kwamba “vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni mali ya CCM” na TAL amesema angalau wamethibitisha na wajibu wetu sasa ni kupambana kuvunja mfumo huu wa chama kimoja. #FreeTunduLissu
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
haijalishi uamuzi mahakama itachukua, binafsi namshukuru sana lissu kwa kukigeuza hiki kikaragosi cha 'kesi' kuwa darasa la wazi siyo tu la historia ya nchi yetu, kisiasa na kisheria, bali pia ujasiri wa kuushinda woga na akili za kitumwa, kizezeta. tunashukuru kwa maisha yake:
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
CCM ina uhusiano na chama kilichopigania uhuru wa Tanganyika, ila sio iliyopigania uhuru.
Wakati CCM inaanzishwa sehemu kubwa ya viongozi wakuu wa TANU walikua wameacha siasa, au wameachishwa siasa.
CCM ilianzia ndani ya dola, TANU kilikua chama cha wanaharakati.
VIDEO:
Rose Masesa ambaye ni Dada wa Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Tundu Lissu amewataka watanzania kupuuza taarfa ambazo ameziita za uzushi zinazoenezwa na mwanaharakati Mange Kimambi🇺🇸 @mangekimambi kuwa dada huyo kuwa amekuwa akishirikiana na Godbless Lema @godbless_lema na sasa anaishi hoteli ya Sea Cliff kwa miezi miwili wakifadhiliwa na Abdul Ameir mtoto wa Rais Samia kwa ajili ya kumshawishi Tundu Lissu akubali Maridhiano
Akizungumza na Jambo TV leo Septemba 16, 2026 Rose amesema taarifa hizo si za kweli na wanaompa taarifa Mange wanamdanganya kwani yeye kwa sasa anaishi kwa watoto wake waliopo hapa jijini Dar es Salaam na hajawahi kuishi wala kufika Hotel ya SEACLIF HOTEL na hajawahi kukutana wala kuzungumza na mtu anayeitwa Abdul wala Rais Samia kwa kuhusu kesi ya kaka yake Tundu Lissu
"Sikutegemea sasa na sisi kama familia tutaanza kuingizwa kwenye tuhuma ambazo hazina ukweli kazitoa wapi hakuna anayejua" amesema Rose
Hata hivyo amesema ni msimamo wake yeye binafsi na wa familia yao kuwa hawatoweza kumsaliti Lissu kwa vyovyote.
"Tupo pamoja kuhakikisha tunamtia ndugu yetu moyo anapotuona mahakamani sio kwamba hatuna kazi" ameongeza
Haya yanatokea ikiwa kwa zaidi ya mara mbili Mange Kimambi amekuwa akizungumza na kuandika kwenye mtandao wa X tuhuma hizo.
"Dunia nzima inajua kuwa Lissu hana shilingi 100, sasa nani anailipia familia ya Lissu kuishi Sea Cliff kwa miezi mitatu?. aliandika Mange.
Jussa: Rais Katoka Zanzibar imekuwa nongwa
"Alivyokuwa Rais wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa, leo Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa," Ismail Jussa, Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo.
Jussa alikuwa akizungumza leo Agosti 29, 2026, katika ziara ya chama hicho, katika ukumbi wa Majid Hall, Mjini Magharibi, Unguja.
Prof Tibaijuka aliniambia tuna kazi ngumu kuliko ya Mwl Nyerere.
Nyerere alipambana na wakoloni kwanza walikua wanafuata sheria.
Lakini hawa wakoloni weusi hawafuati sheria.
Wakaloni walikua hawatoi rushwa.
Wakoloni weusi wanahonga kila mtu.
Ukweli ni kwamba tutawashinda hata wakitumia nguvu gani.
Hivi inakuwaje watu zaidi ya 200 wawe na mtazamo unaofanana ?,...
hata Mitume walivyokuwa wanamchagua mbadala wa Yuda Iskariote, wengine walimchagua Matiya na wengine walimchagua Yusto.
Anyway, haya mambo yao mimi hayanihusu.
Mwenyekiti Lissu ameniambia leo, Siasa za Udalali zinapaswa kupingwa sirini na hadharani. Anasema yeyote anayezifanya hawezi kuwa rafiki yake. Amenionya mimi na Vijana wote wa CHADEMA kuwa tusiwe Madalali kwenye Siasa. Nimemuelewa na BAVICHA tutasimama hilo kwa wivu Mkubwa.
TANZANIA DEMOCRACY FORUM
Topic: Transitional Justice, Accountability and National Healing.
📅 28th August 2026
⌚08:00 AM
📍 Wakili House, Dar es Salaam
📺 LIVE via Wakili TV