@EduTalkTz NENDA SUA UPATE GPA SIO HIYO YA KWAKO YA KUBAGAZA NA KUBANANGA.... NIKIONA MNAONGEA SJUI GPA NAJIULIZA MLISOMA VYUO GANI WANAGAWA HIVYO ... STUPID
@iam_meenaally @LarryMadowo side nyingine amewaachia nyie waandishi wa tz ili mpate story.... na nyie muandae story lakini nyie ni wafungwa mpaka mupewe maelekezo na girishon
@HildaNewton21 hii lazima itaongeza machafuko na kuwa makubwa zaidi... sabb jeshi letu likikaa upande wa wananchi.. basi itakuwa ni vita ya pande mbili