@sadicksenyagwa@SongalimiJ@EsirEid Mbona mbali huko kaka mwak 1940 Watanganyika wote walikuwa waislamu wote hata alivyokuja mjerumani hapa wali endeleza uislamu na kuto badilisha chochte kile kwa watanganyika wa kipindi iko.
Alivyokuja tu Muingereza tu ndipo balaa likaanza mara missionary , trades , etc
What does a man do, Walter?
"A man provides for his family. And he does it even when he is not appreciated, or respected, or even loved. Because he is a man."
Washua wengi tu wa zamani will tell you a man's path hainaga vifijo vingi. Tengeneza tu systems za kukufaa mwishoni.