Huyu jamaa ukiskia stori za wahenga wakimzungumzia na ukasema ujiendee YOU TUBE ukacheki baadhi ya game alizochezaga ni UONGO mtupu
Ni vile tu zamani hakukua na vipaji kama vya sasa,
Huyu hafiki hata nusu ya VINICIUS JR🚮
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Vinicius Júnior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mchezo (Man of the Match) kwa mara ya tatu katika mechi tatu mfululizo!
🏆 Mchezaji bora dhidi ya Morocco 🇲🇦
🏆 Mchezaji bora dhidi ya Haiti 🇭🇹
🏆 Mchezaji bora dhidi ya Scotland 🏴
Hii inaonesha wazi kuwa Vinicius yuko kwenye kiwango cha juu sana na ana mchango mkubwa kwa Brazil. Kuwa “Man of the Match” mara tatu mfululizo si jambo la kawaida katika mashindano makubwa kama Kombe la Dunia.
#MeaNswahiliUPDATES