@Roma_Mkatoliki Mpk ushaidi wa camera upelekwe mahakaman aisee ushachezea miaka 3 ndani. Na kuna point wanaweza kukataa ushaid wa video ukazungushwa zungushwa 10 hii apa uko ndan kwahyo cha msingi n kumsanua pale pale iwe zogo ajulikane alikuwa anania ya kuua ili umfunge vzur
@Thereal_taivina Awa jama wa SGa Huwa wako
Hovyo sana Barabaran huwa wana force sana ata kwenye mazingiza ambayo n hatar hawajali kbsa walishawah kugonga Gar Ra4 na hawakusimama
@Makaveli_255 Hahahahaha duh! ningesema elimu yake ndogo ningemuonea ila Uelewa wake ndo shida kwa kifupi Uwezo wake n Mdgo swali kama hyo anaanza ukolon tena๐๐
@MadarakaNyerere Ukienda Bureau de Change zote Dubai Rate n moja ukinunua ata ki2 kwenye duka la kwaida Rate ni moja ukilipa ata services yoyote Rate ni moja ukienda kwenye Maduka ya Gold Rate ni Moja
Ila kwetu apa kila mtu ana Rate yake hasa hizi kampuni zinazotoa huduma za usd
@MadarakaNyerere Umeongea kitu Hapo inamaanisha kila kampuni ina Rate zake. Ndo maana tofaut inakuwa kubwa Mimi nimekumbana sana na hii Hali ninapo Agiza mizgo nje hasa kwa Cargo wanakupa Rate mpaka ya 2,830 kwa Usd to Tsh wakat Normal Rate n 2,700 yaan watu wana exchange rate na faida juu
@MadarakaNyerere Bot kuna Kitu hakiko sawa ilitakiwa waje na sheria kali sana Rate iwe moja kwenye kila Anataka kutumia usd mfano Rate utakayokuta kwenye Mabenk iwe ndo Rate hiyo hiyo iko mtaan na kwenye Taasisi nyingne Mfano Dubai Rate usd to Aed 3.66 or 3.65 Hii Rate iko kila kona ata ukienda
@godbless_lema Kwenye Mchakato wa Tender inawezekana kbsa Unakuta ana Hela ndogo ila Kuna vigezo hawajafika
Ila ukifwatilia process za Tender unaweza kusema serikal inapoteza hela sana ila ndo sheria
unaweza kuta iyo kampun ya bilion 616. Ni ishu ya Documentation tu hazijakaa sawa